Nina wasiwasi na utabiri wa TB Joshua kuhusu ushindi wa Clinton, maana mambo ni tofauti

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Screenshot_2016-11-10-17-03-35.png
Napatwa
FB_IMG_1478663191548.jpg
na wasiwasi juu ya utabiri wa nabii Wa kimataifa TB JOSHUA; alivyosema anamtabiria CLINTON ushindi;
Hadi sasa taarifa za awali zinaonesha TRUMP anaongoza.
Unauzungumzia utabiri Wa manabii huyu endapo matokeo yataendelea kuwa hivi?


=======

Nigerian prophet TB Joshua says Clinton will win US election
10:15 07/11/2016
Lagos - Nigerian prophet TB Joshua of the Synagogue Church of nations (SCOAN), has predicted that Hillary Clinton will win the US presidential election in a "narrow victory" against her Republican rival Donald Trump.

TB Joshua's declaration came as the world's attention focused on the contentious US elections slated for Tuesday November 8.

He made the disclosure while speaking to a packed congregation at the SCOAN on Sunday.

TB Jushua claimed that he saw it all in a vision 10 days ago.

UPDATE S
Punde baada ya mshindi Wa urais nchini marekani; IUtabiri Wa nabii uliondolewa katika mtandao Wa Facebook; lakini punde hivi Leo utabiri huo umerejeshwa tena Kwa madai kwamba ulifutwa kimakosa.
 
Mimi sio mfuasi wa huyo TB Joshua wala sijali utabiri wake. Lakini weka hizo comments zake alizosema kama Clinton atashinda. Bila ya hivyo itakuwa unamlisha maneno


Ndukiiiii
 
Sasa hapo atajiteteaje tena? Au Clinton kakosea mashart
 
Trump ana 167 electoral votes na Clinton ana 131 electoral votes, Trump is doing remarkably well

Updates.
Clinton 190
Trump171
Updates
Clinton 190
Trump 186
Updates
Clinton 197
Trump 187
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Mimi sio mfuasi wa huyo TB Joshua wala sijali utabiri wake. Lakini weka hizo comments zake alizosema kama Clinton atashinda. Bila ya hivyo itakuwa unamlisha maneno


Ndukiiiii
Dduh! Mkuu inamaana hujui wakati dunia yote inafahamu hilo
 
TB Joshua kanjanja tu, nabii wa uongo ameshindwa kuona ata biblia inampinga ELIZABELI (Clinton)
 
Haya wacha tusubir miujiza! Ila kumbuka Trump aliwahi sema hataweza kukubali endapo matokeo yakiwa tofauti na ushindi wake
Trump will be forced to agree wherever he lyk or nor
 
"we are going to washington to draaaaaiiiiinnn theeeeee swampp-donald TRump.
191-131,


bado dakika chache ngoma itaeleweka hiii
 
Back
Top Bottom