Kulikoni KIU?
Vpi mlacha kaka.duh polen wanazalishwa watalam vilazaSiyo chuki mkuu, mm ni mwalimu pale. Naumia sana kuona uduni wa ufundishaji pale, nikilinganisha na chuo nilikotoka. Na pia naumia sana na quality ya wanafunzi tunaoletewa pale.
Kama una access ya mwalimu yeyote wa UDOM, jaribu kumpeleleza
HAPO KWENYE RED: You may be right, lkn kumbuka kuwa UDOM ni kama chuo cha ccm kiutawala (ingawa majority ya wanafunzi na workers ni CDM), kwa hiyo maagizo ya ki-ccm yapo mengi, na haya yaingilia uhuru University. Ningeweza kukupa mifano hai lkn naogopa ku-disclose my identity.
Ndugu zako hawalalamiki huenda kwa sababu hawana alternative. Walalamike ili wakapate wapi degree? Wengi wa wanafunzi wanaokuja UDOM ni vilaza, na bahati mbaya wanakuta walimu ambao actually bado hawajawa walimu!! I hope you know what I mean.

Futa kauli yako mimi nasoma Udom na ninakaa chumba kimoja na mtu anayesoma BAED hakuwai kuniambia matokeo yake ila kuna siku niliona cheti chake cha form six amepata one ya sita.Na mimi nilipata two kuna rafiki yangu nililingana nae matokeo ya form six yupo Udsm.Hivi kwanini kinapoongelewa chuo chochote mwisho wa siku mnakiingiza na Udom hiyo ni sawa na anapoongelewa msanii yoyote mwisho wa siku wanamuingiza na Diamond.Aya endeleeni ila mnazidi kutupa umaarufu.
Dah..kama ni kweli basi ubora wa elimu yetu uko mashakani sana
Siyo chuki mkuu, mm ni mwalimu pale. Naumia sana kuona uduni wa ufundishaji pale, nikilinganisha na chuo nilikotoka. Na pia naumia sana na quality ya wanafunzi tunaoletewa pale.
Kama una access ya mwalimu yeyote wa UDOM, jaribu kumpeleleza
Mi naona tujiulize kulikoni... Elimu ya Tz... sio KIU tu
Mi mwenyewe nna ndugu zangu wawili waliochaguliwa education udom BSc E mmoja alikuwa na division two ya 9 PCB mwngne na three ya kwanza ya 10 ya PCB.
Hawa wote walirudi nyumbani mwaka huu wanaomba tena.
Hivi form four anaweza kujiunga na degree programu nijuzeni wakuu?