Nina wasiwasi na Dr. Joseph K. Buberwa

Ngoja niutafute mzigo YouTube nicheke kidogo,hii ni new release ya bongo movie actor sangoma buberwa
 
Zile dawa za meno nilitumia mara moja tu na siku wahi kung'oa tena jino ingawa lipo lilitoboka lakini sina maumivu.Sijui kama ni ile dawa yake ama imetokea tu maana nilishatoa meno mawili kabla sijatumia.

Baada ya kutumia dawa yake, nimeshang'oa meno ma4
 
Hata sijui
Niliona tu mtu kazimia live kwenye tv
Binafsi nahisi atakuwa anamatatizo ya kiafya.. maana mara yabkwanza namfahamu alkuwa anatangaza dawa ya meno enzi hzo kama miaka 5 nyuma alkuwa fresh tu.. ila nowdays kazeeeka ghafla
 
Huyu jamaa sio wakumuamini kabisa 3years ago ashawahi kuja kwenye kampuni yetu anataka ku install cctv cameras alaf saizi ghafla amekua dokta bingwa kama Dr Mwaka
 
Back
Top Bottom