Nina wasiwas na hayo wanayoita mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

ludoking

Senior Member
Oct 5, 2008
124
71
Napenda kuonyesha wasiwasi wangu juu ya hayo mabadiliko ya baraza la mawaziri kwamba; ni madiliko kweli au ni sawa na kuchukua hela mfuko wa kushoto na kuzihamishia mfuko wa kulia? Tunataka liwe baraza lenye kubadilika kweli kuliko kuacha sura zile zile kwa kuzihamishia tu wizara tofauti
 
Wewe ludoking ni mtu wa majungu na kulalamika huna kazi ya kufanya? Si ni wewe ulikuwa unalalamika kuwa Rais ameshindwa kuwaajibisha Mawaziri, sasa umesikia amechukua hatua unaanza kulalama tena, kwani wewe ni jini mpaka ujue kwamba baraza jipya halitakuwa jipya? acheni kuwa watu wa kukosa kazi na kubakia kupiga majungu tu, kwa kumtindo huo maendeleo hayawezi kuwepo kabisa
 
Kiukweli viongozi wengi wamepoteza matumaini kwa wananchi wake nahic hata hilo baraza la mawaziri linalokuja sera itakuwa ni ileile ya Tanzania ni shamba la bibi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom