uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 14,593
- 26,206
Ndugu wana Jamvi,
Baada ya mda mrefu wa utafiti na kutafakari sana napenda kusema nilichogundua ni kwamba "Hakuna sababu ya mtu kuajiriwa" na kama kuna mtu anaweza kuleta vigezo tofauti nitapenda kuvisikiliza. Mtu aajiriwe kwa mapenzi na kazi yake na kwa kutaka mwenyewe, ila sio kwa kulalamika na kusema mshahara ni mdogo etc.
Kitu kinachowaharibu watu wengi ni hizi shule, na security ambazo nawaambieni sio security ni utumwa "Period and point blank" Si sijasoma, I have been to school, and I have worked for a while, but after sometimes I just realize that nipo kwenye utumwa ambao nikichelewa kujichomoa itanigharimu sana.
Why do I say this?
Umeshawahi kujiuliza kwa nini unafanya kazi? unafanya kazi ili uishi, hemu tuchukue mfano wa mfanyakazi anayefanya kazi posta Dar es Salaam "maeneo yale" anakimbizana na usafiri saa 11 alfajiri, anarudi Nyumbani saa 5 usiku, kachoka, hata kama ana mtoto anaweza asimfaham, sasa swali "Maisha unayoyafanyia kazi unaishi lini?" and I am telling you the truth you will work like this for the rest of your life. When you become old, utapewa pension, na hapa utalazimishwa kuanza ujasiriamali, TOO LATE MY FRIEND, if you failed when you are young, DONT TRY it now. BETTER TRY EARLIER EVEN BEFORE YOU HAVE A WIFE.
SO people work to work, they dont work to live, because their lives has changed to be work. Nilipokuwa nafanya kazi kipindi fulani nyuma, nilikuwa naishi Tabata, nafanya kazi posta, nilikuwa nalipwa 475,000/= take home salary, ambayo ideal ni mshahara wa watu wengi walio graduate.
Kila siku jioni nikirudi home napita mahali napata vyepe naenda Kulala, nikajaribu kufanya utafiti wa huyu muuza chips na biashara yake, ana kakibanda kadogo, ka mbao, lakini kwa siku ana uwezo wa kuuza shs: 54,000 minimum. Na akaniambia anasave 20,000 kila siku baada ya gharama zake zote, pamoja na pango, kwa hiyo kwa mwezi anaweza kuzalisha shs: 600,000/= "He is simply standard 7; hawai kazini kama wewe, anaamka saa 4, he is free, office haimfungi, akitaka kumtembelea mtu anaweza, anachokikosa ni security ambayo wewe unasema unayo, lakini nakuambia hauna, KAMA UNABISHA NENDA KINYUME NA BOCY HATA KAMA kakosea utaona kama una security!
Hemu nipeni nafasi niwaeleze maisha ya mtu aliyegraduate kama ninavyoayaona labda yatawapa HASIRA! Anamaliza Shule anapata kazi, analipwa 500,000 net per months, anapanga Nyumba 150,000 kwa mwezi. Baada ya mda na kwa kutaka kuwaiga wenzake anachukua mkopo wa 6m, ananunua gari, hivyo for the next 6 years I can say, anaingia kwenye utumwa wa commitment ya kulipa deni.
Kwa haraka haraka, 500,000 - 200,000 ya deni anabakiwa na shs: 300,000 kwa mwezi, matumizi ya mafuta kwa mwezi sema 100,000, kodi ni shs: 150,000 kwa mwezi, ideal anabakiwa na shs: 50,000 to survive, the same person weekend atapenda kwenda na kamkoko kake Bar na Mke, au demu wake na kuhonga sana.
Imagine huu utumwa ni wa miaka 6 toka sasa, either atakuwa mwizi au sound and kupiga mizinga kila siku, at the end of the day sio mwaminifu. Baada ya mda, anaoa, mtoto wa kwanza, then wapili, naambia ukweli ukifikia hapa nafasi na ujasiri wa kuwa mjasiriamali unaanza kuyoyoma, unaogopa sasa na kuwa na wasiwasi.
Baada ya miaka 6 deni likiisha, utaona mda unaenda, utatafuta mkopo mwingine ujenge, ninakuhakikishia hili ni jambo jema ila ujue tu ndo adventure ya mwisho maishani mwako. Ukimaliza nyumba na kusomesha, ushakuwa Mzee kwa sense fulani, utazeeka umeajiri, with blood pressure na hautakuwa na nafasi ya kuishi maisha unayoyataabikia.
Let me end here for now,
But more to come,
Thanks.