Nina tafuta bank itakayo nikopesha kwa harak

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Je nitapata wapi bank ambayo itakubali kunikopesha million kama 15 ili nilipe deni kama 3.7 milion deni lingine kwenye bank fulani kisha nipate tofauti yake?
Nina shida imenipata ya daharura lakini baadhi ya bank wanataka nipitishie kwanza mshahara wangu kwa miezi mitatu
siwezi kupitishia kwanza pengine mpaka nimalize kuwalipa deni hapo ninapodaiwa
asante
 
ukishindwa azania bank,jaribu kwenda uba au ecobank,masharti yao hayajabana kivile kama bank mama zetu

asante sana na mungu akubariki nitakwendahizo bank tajwa nimeshawapigia azania lakini hawana customer care nzuri
 
Back
Top Bottom