Nina swali kwa WanaChadema

Ni ulimbukeni wetu tu,nowadays in Europe and US,watu wengi sana wanaochukua degrees za political science,MBAs,law and such,wanamemorize Quran as aplus to their degrees....wapo wengi wanafundishwa na waislam mitaani tu kumemorize Quran,ni kama ujiko huku....utasikia mtu anasema,,,"I have an MBA from Harvard and I memorized the Quran.." Na watu wengi hasa waajiri wanaconsider it as a plus!!.........kwetu,naona ni tofauti kidogo.
 
Kwanza swali lako umeliunda vibaya, halafu pia sipendi kujadili mambo ya dini yanayohusisha siasa.

Pili kuna wanachadema wengi waislamu wanaopeleka watoto wao kujifunza maadili ya dini ya kiislamu, kama vile wakristo wengi ambao wana itikadi ya chadema wanavyopeleka watoto wao sunday school kujifunza maadili ya dini ya kikristo, sioni tatizo hapa.

Wewe umekurupuka kusema eti wanachadema wengi wanadharau elimu ya madrasa, umejuaje?

Kama una akili wakati mwingine fikiri kabla ya kupost chochote kwenye Javi letu. Unaoneka hata hiyo elimu ya madrasa huna.
 
sidhani kama mawazo ya mwanachadema mmoja au wawili yanaweza kuwa yanawakilisha wengine wengi waliobaki pia nadhani si busara kusema kuwa wanaccm wote wanaoutetea wizi wa mali ya umma (ufisadi) kwa kifupi swali lako bado sijalielewa....... unaweza kufafanua kidogo????
Kwa nini baadhi yenu mnapenda sana kudharau Madrasa au elimu ya Waislaam kwa ujumla?
 
Kwanza swali lako umeliunda vibaya, halafu pia sipendi kujadili mambo ya dini yanayohusisha siasa.

Pili kuna wanachadema wengi waislamu wanaopeleka watoto wao kujifunza maadili ya dini ya kiislamu, kama vile wakristo wengi ambao wana itikadi ya chadema wanavyopeleka watoto wao sunday school kujifunza maadili ya dini ya kikristo, sioni tatizo hapa.

Wewe umekurupuka kusema eti wanachadema wengi wanadharau elimu ya madrasa, umejuaje?

Kama una akili wakati mwingine fikiri kabla ya kupost chochote kwenye Javi letu. Unaoneka hata hiyo elimu ya madrasa huna.
Nimeipenda hii:biggrin1:
 
Kwa sababu ya upeo wa waliopewa elimu hiyo hebu linganisha Padri na sheikh halafu waweke meza moja halafu tafuta uelewa wao wa mambo haswa general knowledge hapo ndipo utaelewa mmoja ana elimu kasumba bin fitna wakati mwingine ana elimu yenye upeo wa mambo isiyo na fitna na iliyo na haki
 
Katika post zote zote humu ya kwako ni "honest" kwa maana imeeleza zile hisia zenu hasa!
Bila kupepesuka na kupindisha mambo, CDM inajengwa na wafuasi wa kanisa hasa wenye umri mdogo. Kundi hili mara nyingi huwa fanatical na linachukulia vitu kiushabiki tuu!

Madrasa ni shule ya dini ya kiislamu kama vile sunday school watoto wanafundishwa kuelewa fundamentals za dini yao na wanapata kipa imara. Ni ajabu mtu anadharau madrasa lakini anaona sunday school ni superior!

Kama huyu juha hapa juu anadhani padre ni bora kuliko sheikh! Ukimchukua muislamu atakuambia sheikh ni bora kuliko padri! Waislamu wana memeorize reference zote, Quran na Hadeeth, wakristo lazima wasome! Ikitokea leo vitabu vyote vimeungua moto Quran itabaki intact na bible haiwezi ku-survive!

Ingawa kuna watu watabisha juu ya hili, lakini nenda kwenye ile thread ya heche, Uone MBUNGE REGIA MTEMA anadai mbele ya hadhara kuwa Chadema inalindwa na "mungu" YESU na Habib kapigwa chini kwa sababu anaabudu shetani!

Huu ndio msimamamo wa wana chadema hatakama watauficha vipi, lakini huo ndio ukweli!

Nani amekuambia kunywa "mbege" ni bora kuliko kunywa kahawa"
Nani kasema kula kitimoto nio bora kuliko kuto kula
Naninkasema kuabudu kwa magitaa ni bora kuliko kuabudu kimya!
Nani kasema kufuga ndevu ni udhalili kuliko kunyoa!

Nadhani ni muda muafaka watu wakaanza kuheshimu dini za wengine!
 
Kwa mara ya kwanza nimekaa upande wa pili kuhoji Wanachadema na hakika sasa naelewa wazi kwamba ni watu wasiopenda kabisa kuambiwa jambo ila wao wanajua zaidi...

Jamani haifai badirikeni laa sivyo mtakipoteza chama. Hakuna mahala nimesema wanachadema ina maana wanachama wote wanawachukia waislaam na kwa wasionijua mimi nawafahamisha kwamba mimi mwenyewe ni Muislaam na MwanaChadema hivyo kwa nini mnashindwa kujibu swali langu ila kukosoa nilichoandika ili kiwe na mtiririko mnaotaka nyie.

Halafu basi najua watu wengi wasiokuwa Chadema pia wapo wanaodharau madrasa na Uislaam lakini sikutaka kujua sababu zao isipokuwa pale panaponihusu mimi. Kila naposoma hoja zinazohusu Chadema hatukosi kuwapa lawama Waislaam kama vile waislaam ni chama cha CCM ambao ndio wenye kuhoji uwezo wa Dr.Slaa na hata chama kuongoza.

Nimesema na nitarudia tena kusema kwamba wananchi wana kila haki ya kuuliza uwezo wa Dr.Slaa na hata chama kama kinaweza pewa dhamana ya kuongoza hata kama inakisiwa na Udini ni jukumu letu wanaChadema kutoa majibu yenye kuridhisha na kuondoa tuhuma hizo au hata kupuuzia tuhuma hizo ikiwa hazina ukweli ama uzito lakini sii kuwadharau Waislaam na elimu yao ili hali kati ya watu wanaohoji uwezo wa Dr.Slaa na Chadema wapo pia wakristu.

Swali ni rahisi kabisa nimeuliza - Kwa nini baadhi yenu mnapenda sana kudharau Madrasa au elimu ya Waislaam kwa ujumla?

Sasa mnaweza kunionyesha ni wapi nimesema WanaChadema wote hudharau Madrasa au elimu ya waislaam?... Na kama hamkuweza kunisoma vizuri jaribuni kurudia tena maanake mnakwenda mbali kusiko hitajika wakati swali jepesi kabisa. Kwa nini mnadharau madrasa? Nambieni tu kwa mfano kwa sababu ni elimu ya dini ambayo haifai? au ni elimu ya dini ya kiislaam ambayo sii dini yenu? au ni elimu ya dini inayoshabikia KIkwete na UCCM na kadhalika..

Nina hakika kabisa tunaweza pata ufunuo ktk hizi chuki za Uislaam na Ukristu ikiwa tutakuwa wawazi na yale yanayotukwaza. Iweje mimi muislaam niliyesoma madrasa leo namuunga mkono Dr.Slaa na sababu za kumuunga mkono ninazo hata kabla hajachaguliwa wala kujitokeza, leo mshindwe nyie wanachama wenzangu kujibu maswali mnayoulizwa na Watanzania wa makabila au dini nyinginezo isipokuwa kurudisha dharau na matusi kwa kutumia imani za wengine. Na katika akili zenu hivi mnafikiria mtu kama mimi hapa Mkandara hujisikia vipi naposoma dharau hizi..

Hivi kweli mtu hawezi kuuliza swali akajibiwa bila kutafuta kwanza kujua huyu ni dini gani na kujiuliza kwa nini anauliza hivyo?..Mbona tunajikisia kiasi hiki kama vile wezi kweli maanake mwizi hata ukimuuliza jina lake atakujibu unauliza langu kwa sababu gani?
 
Mkuu wangu usilolijua ni sawa na usiku wa kiza. Nimeuliza nipate kujua maanake Uislaam unashambuliwa kushoto kulia kwa sababu ya JK, CCM sijui Nape. Na sioni mahusiano ya hawa watu na Uislaam au maamuzi yao.

Wewe unaumwa ugonjwa wa kusahau, JK ndio tatizo la hili swala, na Nape Nnauye anapokashifu wachaga wewe unadhani is that fair? na unaposema uislamu unashambuliwa huo ni unafki utaki kusema ukweli, ina maana hujui kwamba uislamu na ugaidi ni ndugu?
Halihitaji degree kulijuwa hili, unafki wa masheikh ulionekana baada ya Gaidi Osama kuuwawa wote walionekana walikuwa wanasupport ugaidi.
Tatizo kubwa linalowasibu waislamu ni kwamba viongozi wengi wanaoongoza taasisi za kiislamu hawana elimu dunia. sifa yao kuu ni kuteka misikiti. mfano angalia waislamu wa madhehebu ya ismailia ambao ndio wanamiliki Aga Khan hospital mambo yao ni supa na hawana ulalamishi wa kipuuzi eti waislamu tunaonewa na mfumo kristo. this is too low.
 
Mkuu nashukuru sana kwa majibu yako maana umekuwa muwazi na hukutaka kupindisha mada. Nimekuelewa vizuri sana ila nilitaka kuuliza hivi unaweza kunambia mfumo kristo ni mfumo gani?. Na nini msimamo wa chama na mfumo huo kaa upo..Je Chadema wanatukuza mfumo kristo na inajaribu kuulinda ndio maana unadharau waislaam na madrasa? maanake sielewi mahusiano ya mfumo kristo na Chadema. Naomba kufahamu tu uwe muwazi kama ulivyotanguliza hoja yako maanake ndio najifunza hivi!

Nina maswali mengi ila nadhani nitakuwa nimetoka ktk mada husika ila kama utaweza nakuomba majibu mafupi ktk haya..
1. Maswala ya Ismailia na Wakristu wewe unaona wapo supa kwa sababu wanajineemesha wao kimakundi, Islamilia (wahindi) na wakristu wakitegemea misaada toka Ulaya kuwa ndio elimu bora zaidi ya madrasa yaani hii ndio elimu dunia!. Nipe mifano ya graduates wa hizi shule ambao ni kioo cha high level ya elimu dunia..

Na how come hizi taasisi zao ni matajiri kuliko Taasisi zote za kidunia?.. iweje shule ya Kiislamailia/Kikristu iwe ghali kulipia kuliko shule ya private nyingine yeyote hali fedha zao zinatokana na michango ya wanajumuiya!..Halafu mkuu hizi ndizo sababu ya kudharau kweli Madrasa shule zinazofundisha imani ya dini?
 
Mkuu kwanza ningependa nikufahamishe bila kumung'unya maneno, mimi sio mwanachama wa CHADEMA ila ninaamini mabadiliko kwa sasa yatapatikana kwa kupitia mwamvuli wa CHADEMA.

Pili kuhusu mfumo kristo ni matunda ya JK alipoona maji yako shingoni turufu yake ya pekee ilikuwa ni kuwadanganya waislamu kwamba Dr Slaa ametumwa na kanisa katoliki kugombea urais kwahiyo yeye JK anapigwa vita kwa uislamu wake wake, lakini cha kushangaza hao masheikh walishindwa kumuhoji mbona Nyerere alikuwa mkatoliki na Mkapa ni Mkatoliki na waliongoza nchi hii hii? na amesahau ni maaskofu hao hao wakatoliki ndio walitusadikisha kwamba Kikwete ni chaguo la mungu na hatukusikia kwamba CCM inafungamanishwa na kanisa, huu ni unafki.

Kuhusu misaada ya kutoka ulaya ninavyofahamu mimi, kanisa katoliki halipokei misaada ila kanisa ndio linapeleka pesa Vatican, na kuhusu swala la shule za mashirika ya dini kuwa ghali hili nakubaliana na wewe na nalipinga swala hili kwa nguvu zangu zote. huu ni ufisadi na haukubali kamwe.
Kuhusu swala la madrasat hakuna anaedharau ila kejeri zinakuja kwa sababu masheikh ubwabwa wanaohubiri chuki kila kukicha dhidi ya wasio waislamu ndio source ya kejeri hizi. huwezi kumuita binadamu mwenzako KAFIR eti kwa kisingio sio mwislamu mwenzako.
Nakupa changamoto sikiliza Redio Tumaini na Wapo Redio, halafu sikiliza Redio Imaan utapata jibu ambalo halihitaji mkalimani.
 
Kuongezea bob walio wengi JF hawana hata kadi za CDM! Swali lako kuelekezwa CDM naona unalenga kwenye udini zaidi. Hapa JF nadhani mimi nimelitumia sana hili madrasa al sul kwa wale wenye chuki zidi ya ukristo....mfano angalia gazeti la An-nuur na ile radio ya Moro! Post zenye kumwita padre, wakatoliki, wakristu, kafir, na chochote Kama hicho kwa Dr Slaa na wapenzi wa CDM najua wawafahamu niwaambiao wazee wa hiyo madrasa bila kudharau wenye michango yenye akili JF bila kuweka kashfa

rev hata mimi sina kadi ya cdm
 
Kwa mara ya kwanza nimekaa upande wa pili kuhoji Wanachadema na hakika sasa naelewa wazi kwamba ni watu wasiopenda kabisa kuambiwa jambo ila wao wanajua zaidi...

Jamani haifai badirikeni laa sivyo mtakipoteza chama. Hakuna mahala nimesema wanachadema ina maana wanachama wote wanawachukia waislaam na kwa wasionijua mimi nawafahamisha kwamba mimi mwenyewe ni Muislaam na MwanaChadema hivyo kwa nini mnashindwa kujibu swali langu ila kukosoa nilichoandika ili kiwe na mtiririko mnaotaka nyie.

Halafu basi najua watu wengi wasiokuwa Chadema pia wapo wanaodharau madrasa na Uislaam lakini sikutaka kujua sababu zao isipokuwa pale panaponihusu mimi. Kila naposoma hoja zinazohusu Chadema hatukosi kuwapa lawama Waislaam kama vile waislaam ni chama cha CCM ambao ndio wenye kuhoji uwezo wa Dr.Slaa na hata chama kuongoza.

Nimesema na nitarudia tena kusema kwamba wananchi wana kila haki ya kuuliza uwezo wa Dr.Slaa na hata chama kama kinaweza pewa dhamana ya kuongoza hata kama inakisiwa na Udini ni jukumu letu wanaChadema kutoa majibu yenye kuridhisha na kuondoa tuhuma hizo au hata kupuuzia tuhuma hizo ikiwa hazina ukweli ama uzito lakini sii kuwadharau Waislaam na elimu yao ili hali kati ya watu wanaohoji uwezo wa Dr.Slaa na Chadema wapo pia wakristu.

Swali ni rahisi kabisa nimeuliza - Kwa nini baadhi yenu mnapenda sana kudharau Madrasa au elimu ya Waislaam kwa ujumla?

Sasa mnaweza kunionyesha ni wapi nimesema WanaChadema wote hudharau Madrasa au elimu ya waislaam?... Na kama hamkuweza kunisoma vizuri jaribuni kurudia tena maanake mnakwenda mbali kusiko hitajika wakati swali jepesi kabisa. Kwa nini mnadharau madrasa? Nambieni tu kwa mfano kwa sababu ni elimu ya dini ambayo haifai? au ni elimu ya dini ya kiislaam ambayo sii dini yenu? au ni elimu ya dini inayoshabikia KIkwete na UCCM na kadhalika..

Nina hakika kabisa tunaweza pata ufunuo ktk hizi chuki za Uislaam na Ukristu ikiwa tutakuwa wawazi na yale yanayotukwaza. Iweje mimi muislaam niliyesoma madrasa leo namuunga mkono Dr.Slaa na sababu za kumuunga mkono ninazo hata kabla hajachaguliwa wala kujitokeza, leo mshindwe nyie wanachama wenzangu kujibu maswali mnayoulizwa na Watanzania wa makabila au dini nyinginezo isipokuwa kurudisha dharau na matusi kwa kutumia imani za wengine. Na katika akili zenu hivi mnafikiria mtu kama mimi hapa Mkandara hujisikia vipi naposoma dharau hizi..

Hivi kweli mtu hawezi kuuliza swali akajibiwa bila kutafuta kwanza kujua huyu ni dini gani na kujiuliza kwa nini anauliza hivyo?..Mbona tunajikisia kiasi hiki kama vile wezi kweli maanake mwizi hata ukimuuliza jina lake atakujibu unauliza langu kwa sababu gani?

Unapigia mbuzi gitaa.
 
swali lako zuri sana. ngoja nichambue vinara wa kushambulia uislamu hapa jamvin na likely ni wanaCDM na naweka majina yao hapa.
 
Mimi sio Mwanachadema na sio chama chochote, ila nimpenda mabadiliko. As far as your thread is concerned, they say "No research, no right to speak". I am not well clear on how you reached your conclusion. Probably you need to tell us, how was that research conducted, including the unit of analysis, sample size and sampling technigues. Was is stratified to make sure that both stratas within CHADEMA in terms of belief taken care? Did you you test the hypothesis also in other parties like CCM, NCCR Mageuzi, CUF, TLP, non part allied, etc such that you also have the feelings how the members perceive Madrasa education and related education, and why do they feel so that you differentiate them from CHADEMA? Again, did you trace the historical situation to understand how has it been the situation before. Remember that, multiparty system and so did CHADEMA came in for the first time in 1992. Now did you trace back to see how was the situation before? I think to have a good conclusion go through the advices I have aired down. It is my personal advice.

Good critics by Analytical
 
Dah nimemsoma mwana hauja 2lia! Kwani unaposema elimudunia unamaana waislam wana elimu ya akhera?BABKUBWA kama unaamini hzo ni dini mbili Islam ni ya Mungu na Hiyo yako ni ya fremanson! Ndo mana kuna makosa zaidi ya 50,elfu kny Biblia.NA BILA KUBISHA CHADEMA NA KANISA NI SAWA NA RANG YA MAWINGU NA MAJI YA BAHARI. Kwani kama unaelimu wewe unajua maana ya ugaidi?kama ujui 2lia mana utakuta mpaka Pengo ni Gaidi kwakua anaongoza Commion of
Armed force ndan ya JWTZ.Uwe makini mpwa.
 
Mkuu kwanza ningependa nikufahamishe bila kumung'unya maneno, mimi sio mwanachama wa CHADEMA ila ninaamini mabadiliko kwa sasa yatapatikana kwa kupitia mwamvuli wa CHADEMA.

Pili kuhusu mfumo kristo ni matunda ya JK alipoona maji yako shingoni turufu yake ya pekee ilikuwa ni kuwadanganya waislamu kwamba Dr Slaa ametumwa na kanisa katoliki kugombea urais kwahiyo yeye JK anapigwa vita kwa uislamu wake wake, lakini cha kushangaza hao masheikh walishindwa kumuhoji mbona Nyerere alikuwa mkatoliki na Mkapa ni Mkatoliki na waliongoza nchi hii hii? na amesahau ni maaskofu hao hao wakatoliki ndio walitusadikisha kwamba Kikwete ni chaguo la mungu na hatukusikia kwamba CCM inafungamanishwa na kanisa, huu ni unafki.

Kuhusu misaada ya kutoka ulaya ninavyofahamu mimi, kanisa katoliki halipokei misaada ila kanisa ndio linapeleka pesa Vatican, na kuhusu swala la shule za mashirika ya dini kuwa ghali hili nakubaliana na wewe na nalipinga swala hili kwa nguvu zangu zote. huu ni ufisadi na haukubali kamwe.
Kuhusu swala la madrasat hakuna anaedharau ila kejeri zinakuja kwa sababu masheikh ubwabwa wanaohubiri chuki kila kukicha dhidi ya wasio waislamu ndio source ya kejeri hizi. huwezi kumuita binadamu mwenzako KAFIR eti kwa kisingio sio mwislamu mwenzako.
Nakupa changamoto sikiliza Redio Tumaini na Wapo Redio, halafu sikiliza Redio Imaan utapata jibu ambalo halihitaji mkalimani.
Wow! ama kweli mimi nina ugonjwa wa kusahau... Hivi JK aliyazungumza haya lini na katika mkutano gani?..Halafu mkuu wangu kuwa na kadi ya Chadema pekee haiwezi kukufanya wewe uwe mwanaChadema isipokuwa kuwa na tumaini la kiimani na itikadi na sera za chama ndio nguvu kubwa ya chama na Wanachadema. Hiyo kadi ni sawa na kuwa na Passport tu haiwezi kuondoa ukweli kama wewe ni Mtanzania.

Halafu mkuu wangu bado hujayajibu maswali yangu hasa kuhusiana na mfumo kristo ni mfumo gani huo? maanake nijuavyo hao waislaam wanaolalamika na mfumo kristu wanailalamikia CCM na JK akiwa kiongozi wao. Hapa kidogo inanitatiza zaidi kuelewa unachojaribu kujenga na hasa kumhusisha JK na Uislaam...Kisha ninakuhakikishia kwamba JK ameyafanya mengi kusaidia makanisa (wakristu) kuliko hao Waislaam na Uislaam wenyewe tofauti na Mwalimu Nyerere ambaye alivunja mkataba na kanisa katoliki mwaka 1967 kwa kutaifisha mali zao..Kisha hao hao Waislaam wasomi wa madrasa alipoingia Mwinyi aliwarudishia wakristu mali zao ktk mkataba wa MoU.. Huyu Muislaam asiyekuwa na Elimu dunia ndiye aliyerudisha mahusiano ya Tanzania na Israel na ndiye pia aliyetuwezesha kuwa na vyama vingi (kuzaliwa kwa Chadema) pamoja na kuchukua mfumo mpya wa kiuchumi kutoka Ujamaa kuingia Utandawazi...Lakini pamoja na kuyafanya yote hayo sijakusikia ukisifia elimu ya madrasa au ndio ktk Ugaidi wa waislaam..

Hizo redio za Masheikh Ubwabwa zinapata nguvu kwa sababu Chadema tumeshindwa kujibu maswali mengi yanayowahusu...Wewe si msomi wa elimu dunia?...kwa nini unarudisha matusi ikiwa mambo mengi yanayozungumzwa na hizi redio ni kuhusu dini na yalikuwepo toka enzi za mwalimu wakifanya mihadhara pale uwanja wa Mnazi mmoja na hatukufika huku iuweje msomi wewe ushindwe kutetea elimu yako unapoitwa kafir kwani kafir maana yake nini msomi?.
Wakristu pia wana mihadhara na mahubiri ya dini ambayo pengine wewe huyasikii. Waislaam wameitwa dini ya shetani, Katukanwa Mtume wao kwa matusi yote unayoweza kufikiria lakini hata siku moja hutamsikia Muislaam akimtukana wala kumdharau Yesu ambaye ndiye DINI na sii waumini wenye kutenda madhambi kila siku na biblia mkononi. Sijui wewe unaishi dunia gani lakini hizi dini zote zipo kughiribu watu waikubaliane na imani yao against dini nyingine na imeanza toka enzi za mitume..

Mkuu wangu nawaombeni sana, na nimeliweka swali hili makusudi kama Mwanakijiji alivyoweza kuwauliza wanaCCM kuhusu Urafiki wake na Uislaam..Na kwa jazba wanna CCM walikuja na kutafsiri hoja nzima wanavyotaka wao ili mradi kudhihirisha chuki zao kwa Chadema na hakika naipatapata picha kwamba haya sii maswala ya CCM na Chadema bali yamefikia ktk UDINI na kwa bahati mbaya chama CCM na Chadema vinatumiwa vibaya na watu kueneza Udini..

Na amini maneno yangu sii wengine isipokuwa viongozi wa dini zetu, waliokufundisha kuwachukia Waislaam kwa sababu ni magaidi na yeyote aliye Muislaam hana elimu dunia... Haaa!Haaa! makubwa haya kama kweli elimu dunia yenyewe ndio hii basi hizo shule sintokwenda hata kwa bakora kwa sababu zinafundisha elimu ya chuki na Ubinafsi..Elimu ya Udini tuloletewa na wazungu kumchukia mpinzani wako ili mradi upate nguvu ya kugawanya na kutawala..

Nitamalizia tu kusema Nyote hapa, wanaCCM na wanaChadema tumeingia mkenge vibaya sana na hizi siasa za chuki. Kufikiria kwamba CCM ni chama cha Waislaam kwa sababu ya JK na Chadema ni chama cha Wakristu kwa sababu ya Dr.Slaa au cha wachagga kwa sababu ya Mbowe...Huu ni Ujinga mkuu wangu hakuna elimu dunia yeyote inayofundisha elimu dunia kwa ufinyu huu.

Na mkuu wangu mnakiweka chama ktk nafasi mbaya sana kuelekea uchaguzi wa mwaka 2015 hasa ikitokea kwamba CUF, NCCR, TLP na vyama vingine vikiungana kwani swala hili lipo mbioni linasukwa na kuna vigogo toka CCM watajiunga huko ili mradi kuiangusha Chadema..Quote my word!
Na sijui kwa elimu yenu ya dunia mliyajua haya....Karagabaho!
 
Unapenda kuunga mkono pumba!umeipenda nini hasa hyo kauli!kiukweli CV ya Dr. Slaa inanipa wasiwasi ndo mana wa2 wanajitahd kumtetea ila,nimemuelewa kwanini mwana ameuliza kudharau elimu ya Quran mnaidharau!Dr.SLAA ana diploma 3 moja 2 ndo co ya theology,zilizobaki zote Biblia. Hana Bachelor,Hana MB,Na ana Phd.ya Theolojia.Je unadhani anakwenda kuongoza Misa ikulu? Acha Ubata babu.CHADEMA CHA KANISA BWANA.Soma waraka wasir wa TEC Ambao waumini wa kanisa hamruhusiwi kuuona uk 3,4 ndo utashndwa kusema hayo.kwani Church hamjambiwa mrudishe kadi za NCCR,CUF,CCM,TLP na nk. QURAN NDO MWONGOZO MPWA Na madrasa ni Mfumo sahih kabisa kielimu.! Jitahd kusoma zaidi.Padre akiwa na elimu anakua na ipi?DINI AU DUNIA?KAMA DUNIA, DINI NI IPI?MANA MADRASA UMEONA CO ELIMU UPO PANDE IPI jitambue babuu.
 
Heshima mkuu Mkandara.
Nimesoma michango yako kwenye hii thread yako kuna hoja nyingi za ujenzi umeziongea, kuhusu baadha ya wana Chadema kudharau mafundisho ya dini ya Kislam na kutumia neno Madrasa kama kejeli kwa Waislam, kama umesoma Al nuur ukakutana na kitu kimekuudhi halafu ukaja JF, ukaanza kukejeli Waislam wote ukagongewa Thanks ukadhani unawakoga Waislam kumbe ujui hizo kejeli zako zinazidi kukipaka matope Chadema sababu, kuna baadhi ya wana Chadema JF, kila siku wanawatoa Waislam ndani ya Chadema kutokana na kejeli zao dhidi ya Waislam, uwezi kuwakejeli Waislam sababu ya JK, kuna Waislam wengi tu awamkubali JK, ata kama ni Muislam mwenzao
 
Back
Top Bottom