leo nina stress ile mbaaaya......so moja ya dawa ya kutibu stress ni kutukana....nawaombeni radhi kwa ambao nitawatolea lugha chafu....
Rafiki'ngu mmoja aliwahi kunambia ukitukana basi wajisikia freeeshi kama una stress.....BTW mie kutukana siwezi ila nitajitahidi leo....moja ya tiba ya tatizo ni kulitambua tatizo .........sasa wewe ushalitambua tatizo .....apo ukianza kutukana utakuwa umependa na wala siyo stress
kaa mbali na vichocheo hasi vitakavyokufanya ugombane then uwe mpole.
yeees let me try cup of coffee......nawork more than 16hrs per day...kazi zaienda poa....pole mwaya kama vp pata hot milk then relax kwa muda afu ndo uanze na vimeo apo mezan!!!!!!!!!
pole ndugu yangu, jichanganye na watu ila usiwatukaneLeo nina stress ile mbaaaya......so moja ya dawa ya kutibu stress ni kutukana....nawaombeni radhi kwa ambao nitawatolea lugha chafu....
Leo nina stress ile mbaaaya......so moja ya dawa ya kutibu stress ni kutukana....nawaombeni radhi kwa ambao nitawatolea lugha chafu....
Leo nina stress ile mbaaaya......so moja ya dawa ya kutibu stress ni kutukana....nawaombeni radhi kwa ambao nitawatolea lugha chafu....
Sema tu kuna mtu umemvutia bangi, na wakati ukiivuta ulijiapiza kuwa leo lazima utukane sana.
Jiandae kupigwa ban la kufa mtu
mbona hujaanza?
sasa haya ndio mambo ya kishoga sitaki kuyasikia.....
pole ndugu yangu, jichanganye na watu ila usiwatukane
huna akili kijana....what can i do with that d*mb**** presssdaa
kweli naona kidogo umeanza kutimiza lengo lako!!!!!!!!1sasa haya ndio mambo ya kishoga sitaki kuyasikia.....
bwahahaha hiyo iliwahi kumkuta dogo mmoja hapa YournameisMine....tangu anajiunga JF ana madeni.....kila mtu ana vimeo dedlne kesho ,wengi wetu tuna madeni ,wengi wetu mahusiano yanawanyima usingiz ,wengi wamefiwa weng wamepata ajal weng hawana ada hawana ela ya panadol bt stl thy try to carry on pbm zote so try t ..........even u U CAN.
usitukane tena watu sawa?