Nina stress

moja ya tiba ya tatizo ni kulitambua tatizo .........sasa wewe ushalitambua tatizo .....apo ukianza kutukana utakuwa umependa na wala siyo stress
kaa mbali na vichocheo hasi vitakavyokufanya ugombane then uwe mpole.

sahahu icho kiambishi awali kilichokufanya upate stress!!!!!!!!!!
pole mwaya kama vp pata hot milk then relax kwa muda afu ndo uanze na vimeo apo mezan!!!!!!!!!
 
Sema tu kuna mtu umemvutia bangi, na wakati ukiivuta ulijiapiza kuwa leo lazima utukane sana.
Jiandae kupigwa ban la kufa mtu
leo nina stress ile mbaaaya......so moja ya dawa ya kutibu stress ni kutukana....nawaombeni radhi kwa ambao nitawatolea lugha chafu....
 
moja ya tiba ya tatizo ni kulitambua tatizo .........sasa wewe ushalitambua tatizo .....apo ukianza kutukana utakuwa umependa na wala siyo stress
kaa mbali na vichocheo hasi vitakavyokufanya ugombane then uwe mpole.
Rafiki'ngu mmoja aliwahi kunambia ukitukana basi wajisikia freeeshi kama una stress.....BTW mie kutukana siwezi ila nitajitahidi leo....
pole mwaya kama vp pata hot milk then relax kwa muda afu ndo uanze na vimeo apo mezan!!!!!!!!!
yeees let me try cup of coffee......nawork more than 16hrs per day...kazi zaienda poa....
 
Sema tu kuna mtu umemvutia bangi, na wakati ukiivuta ulijiapiza kuwa leo lazima utukane sana.
Jiandae kupigwa ban la kufa mtu
sasa haya ndio mambo ya kishoga sitaki kuyasikia.....
 
kama kweli unamaanisha nakushauri nenda ikulu ukatukane au pale jeshini makongo, watukane wanajeshi,
usiwaonee wadogo, vinginevyo huna lolote..
 
Leo nina stress ile mbaaaya......so moja ya dawa ya kutibu stress ni kutukana....nawaombeni radhi kwa ambao nitawatolea lugha chafu....

Sema tu kuna mtu umemvutia bangi, na wakati ukiivuta ulijiapiza kuwa leo lazima utukane sana.
Jiandae kupigwa ban la kufa mtu

mbona hujaanza?

sasa haya ndio mambo ya kishoga sitaki kuyasikia.....

pole ndugu yangu, jichanganye na watu ila usiwatukane

:disapointed:...:pray2::pray2::pray2:...Huyo pepo wa matusi ashindwe...:amen:
 
huna akili kijana....what can i do with that d*mb**** presssdaa

sasa haya ndio mambo ya kishoga sitaki kuyasikia.....
kweli naona kidogo umeanza kutimiza lengo lako!!!!!!!!1
usitukane watu bwana ...u just chl chalii angu evthng wl b ok
kila mtu kuna siku anakuwa stressed bt watu wana control hali ii sasa iweje we mwanajesh wangu ushndwe kuimudu hali hii mpaka uwatukane watu?mbona mambo mengine magumu tu umeyamudu ili la kuuchuna tu ndo walishndwa ?pls try t just chill for 3hrs m sure u wl b ok!!!!!!!
if iur situation is tense try to cal her if she is in position atakufariji m sure ukiwa nae nusu saa kubwa atakuondolea stress zako!!!1
kila mtu ana vimeo dedlne kesho ,wengi wetu tuna madeni ,wengi wetu mahusiano yanawanyima usingiz ,wengi wamefiwa weng wamepata ajal weng hawana ada hawana ela ya panadol bt stl thy try to carry on pbm zote so try t ..........even u U CAN.
usitukane tena watu sawa?
aya nenda kanywe chai upumzike..
nikiskia tena umetukana watu nitakudunda m tafu enaf i can explode u nimetumia chapta 6 ikishndkana ntatumia chapta 7 o 8 of UN chata.

byeeeeeeeee mwaya..:smile-big:!!!!!!!
 
kila mtu ana vimeo dedlne kesho ,wengi wetu tuna madeni ,wengi wetu mahusiano yanawanyima usingiz ,wengi wamefiwa weng wamepata ajal weng hawana ada hawana ela ya panadol bt stl thy try to carry on pbm zote so try t ..........even u U CAN.
usitukane tena watu sawa?
bwahahaha hiyo iliwahi kumkuta dogo mmoja hapa YournameisMine....tangu anajiunga JF ana madeni.....
 
Back
Top Bottom