Elections 2010 Nina sababu 1000 za kutomchagua Kikwete!

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Sioni alichowahi kufanya huyu raisi anayemaliza muda wake! Amekuwa Mbunge kwa Miaka 15 Kule Chalinze, amekuwa waziri kwenye wizara nyeti, kote alikopitia ameharibu na kushiriki kuweka sahihi kwenye mikataba inayoumiza nchi yetu. IPTL na mikataba ya Madini ni huyu huyu. Amebariki na kukuza ufisadi bila ya aibu amekuwa akiwanadi hadharani akina Chenge, Mramba, Rostam...hawa watu ilibidi wawe jela. Amekuwa mtu wa mizaha akiwa kwenye ofisi nyeti na kusingizia eti ameahauriwa vibaya. Ametumia pesa za hazina kufanya safari zisizo na miguu wala kichwa! ! Hajui hata kwanini Tanzania ni Maskini. Kifupi Kikwete amekuwa na kihere here kurukia hata mambo asiyo yajua.

Suala la afya yake imezidi kuwa tete!

Kikwete hafai hata kuwa Mbunge

Kwa kweli mimi na wenzangu usipoteze kumpa kura yako huyu bwana maana Ikulu ameifanya kuwa ni sehemu ya familia yake.

Huna kura yangu
 
Huyu Kikwete anahusika na EPA kwa asilimia 100! Sorry kura yangu huna 31 OCt
 
pole mwenzako anashianda na moja tu

WIZI WA KURA

UNABAKI NA ZAKO 1000
 
Sioni alichowahi kufanya huyu raisi anayemaliza muda wake! Amekuwa Mbunge kwa Miaka 15 Kule Chalinze, amekuwa waziri kwenye wizara nyeti, kote alikopitia ameharibu na kushiriki kuweka sahihi kwenye mikataba inayoumiza nchi yetu. IPTL na mikataba ya Madini ni huyu huyu. Amebariki na kukuza ufisadi bila ya aibu amekuwa akiwanadi hadharani akina Chenge, Mramba, Rostam...hawa watu ilibidi wawe jela. Amekuwa mtu wa mizaha akiwa kwenye ofisi nyeti na kusingizia eti ameahauriwa vibaya. Ametumia pesa za hazina kufanya safari zisizo na miguu wala kichwa! ! Hajui hata kwanini Tanzania ni Maskini. Kifupi Kikwete amekuwa na kihere here kurukia hata mambo asiyo yajua.

Suala la afya yake imezidi kuwa tete!

Kikwete hafai hata kuwa Mbunge

Kwa kweli mimi na wenzangu usipoteze kumpa kura yako huyu bwana maana Ikulu ameifanya kuwa ni sehemu ya familia yake.

Huna kura yangu
Mbona sababu hizo 1000 ulizonazo sizioni?
 
Back
Top Bottom