Nina raha jamani

sijakusoma,hebu fafanua

Si kwenye ile thread ya wanaume wa Dar umesahau Kabakabana? Kuhusu avator yangu au signature yangu, maana avator ni gari inayopita kwenye mafuriko na signature ni mweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai ni lazim uloe ma uliwe kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeesesh!!!!!
 
ooh una kumbukumbu,lazima ulikuwa unashika namba moja darasani
 
Vyote hivyo kama huna madeni Na pesa ulizo nazo sio za kukopa. By and By kwa nini usiwe na raha mtu? AVATAR yako says a lot. I am happy for you.
A happy woman is too satisfied with the present to dwell too much on the future
 
Ahsante ya kukufanya uwe na furaha ujue ni kazi kubwa mtu kukupatia furaha embu fikiria mwenye kutoa furaha anaitoa kwa jasho kwelikweli ila wewe unayepokea hiyo furaha meno yote 32 nje

nilishang'oa mawili kwa hiyo ni 30.,Yah nimemshukuru mara nyingi tu.
 
Back
Top Bottom