Nina raha jamani

Hiyo raha ya leo uliyonayo siyo kundwa peke yake. Kuna kitu cha ziada ulichofanyiwa leo
 
ahsante mwali,karibu bia
No thank you, maybe some other time...
Ni nani sasa? Unajua ni vizuri kutwambia sisi dada zako nani shemeji yetu ili tusije tukagongana bila kujua. Dunia ni ndogo hii. lol
 
usijali kipenzi, kwa huyu wala hatuwezi kugongana! Na si muda sana nitamuweka wazi,nikishavalishwa pete dear.
 
hehehe ni mapenzi tu motomoto tuu hakuna zaidi uwii jamani mie

Kama kuna watu wanaongoza kwa kuanzisha thread za FB FB wewe Kabakabana ungeshinda hapa JF. To be serious kila mtu ana mpenzi au wapenzi hivyo jamaa akinogesha vionjo tu basi tayari ni thread kuna hatari tukashindwa kuchangia thread kwa wingi wake.

Chit Chat bado haikupi nafasi ya kuanzisha thread ambazo hazimbidiishi msomaji kuchangia.

Honger kwa mzee kukupenda.
 
umeongea maneno meengi sana,una uhakika umemaliza??
Ahsante
 
Back
Top Bottom