Nina na Sinta wako wapi?

c ndio yule pics zake ziliwekwa humu....akiwa kajiachia kiuchokozi kuwatega walafi...au nimekosea? bht msaada kwenye
tuta.

hahaaa masanilo bisha mate hayajakutoka kwa zile picha wewe?????

nawe Goeff yule na silvia nani mkali sema mwenyewe????? hahaaa nawe Nyama.....aaaaaaaaaaaaaaah Babra bana u mchokozi na mfukunyuku weweeee!!!!

I love ur name and mis ze aza one. please nivumilie hivo hivo tu!!!

BTW nilikua na Kaizer lunch hope hutojali hahaaaaaaaaaaaa!!!!
 
jamani yaani wewe babra ndio nanihii next time usifanye hivyo ..aaah mie nilikuwa sijagundua mpaka masanilo alifumbua fumbo

jamani we FL1 usiniangushe!!!!! siku ile ya mapinduzi si ndo moja ya pinduzi lilofanyika!!!!!!!!!!!!
 
hahaaa masanilo bisha mate hayajakutoka kwa zile picha wewe?????

nawe Goeff yule na silvia nani mkali sema mwenyewe????? hahaaa nawe Nyama.....aaaaaaaaaaaaaaah Babra bana u mchokozi na mfukunyuku weweeee!!!!

I love ur name and mis ze aza one. please nivumilie hivo hivo tu!!!

BTW nilikua na Kaizer lunch hope hutojali hahaaaaaaaaaaaa!!!!

Jesus Christ, Bikra Maria na Mumewe Joseph sikutokwa na mate, by the way mimi siko sana kwa mademu hasa wa ovyo ovyo niko reserved ila napenda pombe walahi kungekuwa na glass ya whine, whisky, cocktails ama beer ningependa hivyo kuliko ule mzoga! Few People hapa can read my lines hope ur among those........
 
nilindie tu huyo kipenzi changu, nakuamini 101% dearest....kwa raha zako mami, we banjuka tu, ile thread ilikuwa inaenda speed nahic na wengine ucku hawakupata ucngizi vizuri.(laligeni,Fidel, masa)
 
no dought man!!!!! except unapoandika cha kizenji napata tabu mpaka Goeff a-rescue!!! otherwise i UNDERSTAND YOU MBAYA.....

You are a gud boy who loves kilauri tu!!!!!!!!
 
sema ukweli umwaibishe shetani.....lol, c ndio style zenu za kuuzia nazo sura town hizo, masaki ndio kabisa anaendaga hapo cjui samaki samaki kula kwa macho...mweh
 
ANTI ezekiel ndo selebriti gani huyo?...........

huyu ndio yule alikuwa miss mwanza miaka fulani na sasa anacheza movie za kibongo mala akaanza kuwa na kina Jack Pemba ,mala sijui Chals Baba , Mala maproduser

i1357_ezekiel8.jpg
 
nilindie tu huyo kipenzi changu, nakuamini 101% dearest....kwa raha zako mami, we banjuka tu, ile thread ilikuwa inaenda speed nahic na wengine ucku hawakupata ucngizi vizuri.(laligeni,Fidel, masa)

no stress dear!!!!

hahaaa saaa hizi wanadonoa sio!!!!
 
no dought man!!!!! except unapoandika cha kizenji napata tabu mpaka Goeff a-rescue!!! otherwise i UNDERSTAND YOU MBAYA.....

You are a gud boy who loves kilauri tu!!!!!!!!

Ongezea na Kuangalia tiGo
 
aaaaaaaaaaaaaaah agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr umenikumbusha huo uzaifu wako siupendi damnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn. siongezi labda nipunguze tu

Kuna swali huwa hujibu, nakuulizaga unatiGo?

Basi niPM ama vinginevyo nitamuuliza Nguli ama Kaizer
 
Back
Top Bottom