Nina na Sinta wako wapi?

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,374
Hawa kina dada siku hizi wako wapi

Sinta alitikisa vyombo vya habari kupitia magazeti kila kukicha sinta , sinta

i1470_sintagp.jpg

Nina alikuwa anaigiza katika kikundi cha kaole lakini sasa hajulikani yuko wapi na wala hasikiki kabisa

Mnaweza kunipa update za hawa ladies wako wapi kwa sasa na wanafanya nini
 
wako wako unamaanisha wako wapi?
 
Sinta , kachoka sasa baada ya kujipatia umaarufu mkubwa na kuchukua tuzo kibao za kuandikwa kwenye vyombo vya habari akichuana na Msaani mwenzie matata NORA!. Kama unataka details zake, alikuwa anapatikana maeneo ya Kimara Korogwe ( eneo la Kilungule), sina shaka ndo yalipo maskani.

Kupata "direction" unanzia kwa kumuulizia kwenye kituo cha Taxi cha Kimara Korogwe".

Kuhusu Davina, habari zaidi zinaweza kupatikana kwa wanaofahamu hapa..
 
thanks Ngoshwe
 
Ngoshwe unatisha...!
Mkuu uko full madetail..mmmhh!
 
Nina ameolewa kama mke wa pili na mfanyakazi (bosi) mmoja wa TANESCO.Nafikiri hiyo imemfanya atulie katika ndoa yake akisubiri kuongeza familia.
 
na kuna yule mwingine alikuwa anaitwa "nana"..ka black beauty hivi, mara ya mwisho tuligongana south cjui bado yupo hko au, nakapenda sana.

Yeah kapo kanaganga njaa si unajua maproduza wa Bongo wanawachakaza kwa kuwamega mega ovyo ovyo na vipato wanapewa duni wanaishia kupata sifa.
 
hako mie jina nakumbuka ila sura haiji kabisa ..
pia kuna dada mmoja alikuwa anaitwa Joyce aliecheza kaole zamani sana wakati ndo inaanza ..mmewe Bishanga aligonganisha wanawake ..toka hapo sijamsikia tena kweli watu wanapotea
 
ndio yupo kwenye movies au bado ana act kwenye vikundi?
 
hako mie jina nakumbuka ila sura haiji kabisa ..
pia kuna dada mmoja alikuwa anaitwa Joyce aliecheza kaole zamani sana wakati ndo inaanza ..mmewe Bishanga aligonganisha wanawake ..toka hapo sijamsikia tena kweli watu wanapotea

kadada ka1 kalikuwa kana dimpozi sana, ka black hivi...kuna wakati alikuwa anasoma hapo dsj, wakati huo hapo kumekucha kweli ndio sinta, nora, nana wapo hapo chuoni, tupo bonga bar tunapata kilaji juma nature anakuja kumchukua mami wakati huo...mwehh bungoni palikuwa hot kweli kweli....hivi Fidel ile bar ya bonga bado ipo hapo ilala bungoni?
 
Back
Top Bottom