Nina mtu wangu...huo ndo ukweli wangu

Inategemeana na umri wake. Lakini usiwe mwepesi kukata tamaa, sometime wanacheki upo serious kiasi gani. Akisema ana mtu na wewe mwambie una mtu vilevile.
 
hakuna anae acha kazi kutafuta kazi
watu huacha kazi wakishapata kazi ya maslahi zaidi

na wanawake hivyo hivyo...
akisema ana mtu maana yake wewe huna maslahi kumzidi huyo aliepo now
ukiwa na maslahi zaidi utaambia 'sina mtu'....
go figure
 
Kiutaalamu ni kwamba hakuna jibu zuri kama hilo na kama kweli wewe ni mjuvi wa haya mambo basi ujue hapo umewini maana mwenye mtu wake hua hasemi kirahisi hivo ila hutumia sentensi hio kama silaha yake ya mwisho kukupima nia yako!! Ukionyesha nia ya dhati basi baada ya muda utapata sms na salaam za uchokozi ila kama ni hit and run huwezi lamba!!! Hata hivyo tuache uzinzi
 
hakuna anae acha kazi kutafuta kazi
watu huacha kazi wakishapata kazi ya maslahi zaidi

na wanawake hivyo hivyo...
akisema ana mtu maana yake wewe huna maslahi kumzidi huyo aliepo now
ukiwa na maslahi zaidi utaambia 'sina mtu'....
go figure
nakubaliana na wwe-but sometime ukiforce mambo-huwa wanakubali tu
 
unaona? lol
nikiongeza maslahi je ya hiki kibarua?lol

Nilichokipendea hicho kibarua, sidhani kama chako chafikia! Na mbaya zaidi siwezi pinpoint ni nini nilichopendea; ni combination of everything. Na believe me ni yeye pekee anayo just like fingerprint!

Labda anitende na hivyo nimchukue; then nitakaa nitulie nisubiri moyo utanipeleka wapi! So u see The Boss how complicated it is?
 
Last edited by a moderator:

ngoja niweke nafasi yako wazi rasmi
waje new employees niwafanyie interview.....lol
my office is busy ukitoka tu wanaingia lol
 
ngoja niweke nafasi yako wazi rasmi
waje new employees niwafanyie interview.....lol
my office is busy ukitoka tu wanaingia lol

Ipi ya SH ha ha ha!
Waichukue tu, maana mimi nataka niwe naye 24/7, sio mpaka Maza hausi aende short coz sijui London! LOL

Kwanza tulikuwa wangapi? 8 au 13? LOL
 
Ipi ya SH ha ha ha!
Waichukue tu, maana mimi nataka niwe naye 24/7, sio mpaka Maza hausi aende short coz sijui London! LOL

Kwanza tulikuwa wangapi? 8 au 13? LOL

inaonesha ulivyokuwa mtoro wa kazi
hata wenzio huwajui...
sasa unafikiri ungepandishwa vipi cheo ili usafiri
na mimi?lol.....

usisahau 'kazi mbaya ukiwa nayo' lol
 
inaonesha ulivyokuwa mtoro wa kazi
hata wenzio huwajui...
sasa unafikiri ungepandishwa vipi cheo ili usafiri
na mimi?lol.....

usisahau 'kazi mbaya ukiwa nayo' lol

Akuu, hiyo biashara ya kuimbiana taarabu na kuendeana kwa waganga nani anaitaka!

Niliamua kuachia kimya kimya, na Mungu si The Boss nimekuwa Maza Hausi wa Kibarua changu kingine!

Ila kama wataka kuwa kidumu changu, tuma CV! LOL
 
Last edited by a moderator:
Akuu, hiyo biashara ya kuimbiana taarabu na kuendeana kwa waganga nani anaitaka!

Niliamua kuachia kimya kimya, na Mungu si The Boss nimekuwa Maza Hausi wa Kibarua changu kingine!

Ila kama wataka kuwa kidumu changu, tuma CV! LOL

Ninavyokujua ulivyo 'independent minded'
hiko kibara kitakushinda soon lol
na utakikumbuka cha huku since mlikuwa wengi na uliweza kutegea bila kuonekana lol

utarudi tu huku unalia....i am waiting lol.....i am the nice boss lol

vidumu vina wenyewe mimi i have the 'Mswati Kingdom version to run lol
 
The Boss asiee l can't you even a small!

Haya bwana, tena sintakuintroduce kwa nyu imploya wangu, usije ukaniharibia ili aniache. Duh nshakustukia!
 
Last edited by a moderator:
The Boss asiee l can't you even a small!

Haya bwana, tena sintakuintroduce kwa nyu imploya wangu, usije ukaniharibia ili aniache. Duh nshakustukia!

anaweza kukuacha for his insecurities tu
maana ataona umeacha kazi BOT
sasa umeajiriwa SACCOS...
anaweza asijiamini lol
 
hakuna anae acha kazi kutafuta kazi
watu huacha kazi wakishapata kazi ya maslahi zaidi

na wanawake hivyo hivyo...
akisema ana mtu maana yake wewe huna maslahi kumzidi huyo aliepo now
ukiwa na maslahi zaidi utaambia 'sina mtu'....
go figure

nimekumic we mtu. potelea wap wewe
 
Back
Top Bottom