Nina Mpenzi wangu Dah!!!

Wajameni wewe una mpenzi wako unampenda ila siku za hivi karibuni uilienda naye kwenye harusi sehemu, lakini wakati wakuingia kila mmoja aliingia kwa nafasi yake kutokana yeye kukuta Dada yake na wewe ukatafuta mahali pakukaa wakati umekaa na majamaa ukasikia mmoja anaonyeshe wenzake huna muona huyo mwanamke mwenye **** anatoa tiGo Blaa!!ukageuka kutizama kama wana maanisha mpenzi wako na jamaa hakuwa na wasiwasi kwani hkuijui!jamaa mwingine akamwuliza wewe umemtafuna jamaa akasema nijuzi kwenye sand off nilikuwanaye mapema acha nim do!!
Kama wewe unafanyeje kwa wakati huo na wakati ujao??:lol:

Nitajiridhisha kwa kupretend kama nataka huko; tiGO...! Then, mara nigunduapo kuwa ni kweli basi nitakuwa na "peace of mind" to run away very immediate....! Otherwise, that might be a prove that they're enemies....!
 
Nimeipenda kwa sababu mtu unapata taarifa kutoka kwa fourth person na unatakiwa kuzifanyia kazi. Utajuaje wanakurusha roho ili ummwage?
pia suala la KUSIA mbegu kwenye mbolea imekuwa ni taboo ya vibint vya leo. shangaa sana ukimkuta ambaye hafanyi hiyo kitu. Muulize Gaijin
Je ndo tester??:playball:
 
na wewe mtoa hoja, kwa nini uingie na dem wako mkakaa pande tofauti?
mnatoa ujumbe gani kwa hadhira au bado mnaogopa kuonwa na wapenzi wa zamani?

Unajua inatokea mpo mapokezi mara unakutana nandugu na jamaa kabla yakuingia mnapiga story na yeye kakuta dadake wakaunga kwakuwa alishatangulia na anajua utamfaata na wewe kuona mademu kibao unawapotezea unakaa mahali ukitizama za harusini siunajua panakuwa hapatoshi unatafuta na new contact!:becky:
 
Wajameni wewe una mpenzi wako unampenda ila siku za hivi karibuni uilienda naye kwenye harusi sehemu, lakini wakati wakuingia kila mmoja aliingia kwa nafasi yake kutokana yeye kukuta Dada yake na wewe ukatafuta mahali pakukaa wakati umekaa na majamaa ukasikia mmoja anaonyeshe wenzake huna muona huyo mwanamke mwenye **** anatoa tiGo Blaa!!ukageuka kutizama kama wana maanisha mpenzi wako na jamaa hakuwa na wasiwasi kwani hkuijui!jamaa mwingine akamwuliza wewe umemtafuna jamaa akasema nijuzi kwenye sand off nilikuwanaye mapema acha nim do!!
Kama wewe unafanyeje kwa wakati huo na wakati ujao??:lol:

kwangu mimi nisiyeficha kitu ni very simple yaani ni kiasi cha kumuita tu pale kwa kumpigia simu au text msg aje ili jamaa aprove hayo anayoyasema ni kweli? yaani short and clear kwa nini ukae kimya au umuache mpenzio kwa maneno yasiyo na ushahidi. hakuna cha kuficha kama yeye ameweza kuongea dhahiri basi athibitishe mbele ya muhusika mkuu.
wakubwa mnaelewa kama jambo lipo basi hata vi ishara fulani vitaonekana tu.
 
Nitajiridhisha kwa kupretend kama nataka huko; tiGO...! Then, mara nigunduapo kuwa ni kweli basi nitakuwa na "peace of mind" to run away very immediate....! Otherwise, that might be a prove that they're enemies....!

Akubali umcheke unadhani yeye mjinga??utaomba hadi uzeeke bila kupewa lakini wajanja topeni kama kawa!
 
Nyamayao you said it well, mambo mpeane gizani ya nini kuyaleta kibarazani? nadhani haya ni matatizo ya kutupilia mbali jando na unyago

If a friend will be interested, nae ajaribu bahati yake. its not ethical lol. :doh:
 
Unajua inatokea mpo mapokezi mara unakutana nandugu na jamaa kabla yakuingia mnapiga story na yeye kakuta dadake wakaunga kwakuwa alishatangulia na anajua utamfaata na wewe kuona mademu kibao unawapotezea unakaa mahali ukitizama za harusini siunajua panakuwa hapatoshi unatafuta na new contact!:becky:

kwani hakujua kama dada atakuwepo huko harusini? yaani home utoke naye wewe halafu harusini akakae na mwingine?
 
eti mapenzi ya siri
mshangao mtupu wanaonesha hawa malovaa
Je ndo tester??:playball:
Ohooo naona unanichonganisha. ngoja nikimbie asinikute hapa
Unajua inatokea mpo mapokezi mara unakutana nandugu na jamaa kabla yakuingia mnapiga story na yeye kakuta dadake wakaunga kwakuwa alishatangulia na anajua utamfaata na wewe kuona mademu kibao unawapotezea unakaa mahali ukitizama za harusini siunajua panakuwa hapatoshi unatafuta na new contact!:becky:
hapo kwenye red ndicho kilichokuponza. mie huwa nikiwa na mamsapu sina habari ya kutafuta new contacts. kama vipi hata mgeni rasmi hashikwi mkono.

BTW pole sana ila tabia hubadilika kutoka njema to mbaya and mbaya to njema. vumilia futa machozi kisha anza uchunguzi chanya
 
hahaha.. inawezekana jamaa wanakuonea wivu au wanamfananisha.. mi nakushauri tulia kwanza, alafu anza kufuatilia nyendo zake huku ukitumia kinga!
 
Wajameni wewe una mpenzi wako unampenda ila siku za hivi karibuni uilienda naye kwenye harusi sehemu, lakini wakati wakuingia kila mmoja aliingia kwa nafasi yake kutokana yeye kukuta Dada yake na wewe ukatafuta mahali pakukaa wakati umekaa na majamaa ukasikia mmoja anaonyeshe wenzake huna muona huyo mwanamke mwenye **** anatoa tiGo Blaa!!ukageuka kutizama kama wana maanisha mpenzi wako na jamaa hakuwa na wasiwasi kwani hkuijui!jamaa mwingine akamwuliza wewe umemtafuna jamaa akasema nijuzi kwenye sand off nilikuwanaye mapema acha nim do!!
Kama wewe unafanyeje kwa wakati huo na wakati ujao??:lol:

kaka ntapiga kimya kwanza kwa uchunguz zaid ila mambo ya malove dave ntasitisha kwa muda wote wa uchunguz maana kama ni kwel ntajua tuu maana hapa ntaanda mtego
 
Akubali umcheke unadhani yeye mjinga??utaomba hadi uzeeke bila kupewa lakini wajanja topeni kama kawa!

Naishiwa nguvu ghafla.....! Huwa tunachakachua kwa sababu ya huu mdudu aitwaye INFIDELITY....! Now, how to kill it?
 
kaka ntapiga kimya kwanza kwa uchunguz zaid ila mambo ya malove dave ntasitisha kwa muda wote wa uchunguz maana kama ni kwel ntajua tuu maana hapa ntaanda mtego

Huwezi kufanya hivyo; "red" kwa sababu atajua anachunguzwa....! So, she will take the INFIDELITY bossible tahadhari ili kuhakikisha hupati ukweli uliopo....!
 
We endelea naye tuu,huwezi jua labda huyo jamaa aliyesema hivyo anajua kuwa yule ni demu wako,na amesema hivyo ili kukuumiza tuu,lakini hajawahi kuwa na uhusiano wowte wa kimapenzi na demu wako,coz si kila anayekujua unamjua!!
 
me nilifikiri hata ni wazazi kumbe dada!!!! waka yeye ndo anatakiwa asisitize uwe naye? yawezekana huo ndo mchezo wake na ndio maana hakutaka kukaa na men maana anajuwa wapo wengi, hatari hiyo!
 
Wajameni wewe una mpenzi wako unampenda ila siku za hivi karibuni uilienda naye kwenye harusi sehemu, lakini wakati wakuingia kila mmoja aliingia kwa nafasi yake kutokana yeye kukuta Dada yake na wewe ukatafuta mahali pakukaa wakati umekaa na majamaa ukasikia mmoja anaonyeshe wenzake huna muona huyo mwanamke mwenye **** anatoa tiGo Blaa!!ukageuka kutizama kama wana maanisha mpenzi wako na jamaa hakuwa na wasiwasi kwani hkuijui!jamaa mwingine akamwuliza wewe umemtafuna jamaa akasema nijuzi kwenye sand off nilikuwanaye mapema acha nim do!!
Kama wewe unafanyeje kwa wakati huo na wakati ujao??:lol:
mbona kama story ya kutunga inaingiaje akilini mmekaa meza moja kwenye harusi mtu aanze kuongea vitu kama hivyo mbele za watu wakati ni siri na wala sio sifa mmmh ngumu kumesa
 
Back
Top Bottom