Nina mpenzi kila nikitoka nae watu macho kodo

Picha tafadhali
8d294ff63a3049a658a6f3239543802b.jpg
 
Sasa habari kama hii bila picha haileti maana.Ungetupia picha nasi tungekupa ushauri murua.
 
Litakua jamvi la wageni.......kila mtu akijaribu ndoano inatoka na samaki
 
We akili zako napata mashaka eti una mpenzi kaumbika kama malaika ! We uliwahi kumuona malaika?? Ulishafika peponi wewe??
Malaika simply ni mtumishi wa Mungu sasa wewe unaweza kua na mahusiano na mtumishi wa Mungu mwenye rank ya malaika?
 
Mpenz wangu kaumbika kama malkia fulan, sasa nikitoka naye out macho ya watu kodo nitafute dawa gani kodo isiwepo ndugu
Huenda ni malaya anaejiuza mahali fulani hv, so anafahamika kwa wengi kutokana na kazi yake hiyo. Ushauri. HAMA MJI
 
Hata ww ulianza kumkodolea kabla ya kuwa naye... So ni kitu cha kawaida akiwa mrembo... Au ukitaka kujua wanamkodolea vipi we mtangulize mbele muache kama mita kumi hivi... Uone watu watavyomfanyia kama ni jinsi ke....

Kaa vipi mfungie ndani mpaka atakakopokuwa mzee... Cjui utaweza maana hata out atazikosa. Hata ukimvisha baibui ... Uzuri uko pale pale... Tena mie ndio nawapendaga wazuri kwenye baibui...

Ni jambo la kawaida... changamoto za kawaida sana. Fanya mambo yako ya maendeleo. Achana na majicho ya watu.
 
Back
Top Bottom