Nina mpenzi kila nikitoka nae watu macho kodo

Inawezekana unajishtukia watu wanawagodolea mimacho kumbe hata time na nyie hawana
 
Mimi mwenyewe nikitembea nakodolewa macho, nimeumbika kama malkia
 
Back
Top Bottom