Nina mpenzi kila nikitoka nae watu macho kodo

malivawan10

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
541
310
Mpenz wangu kaumbika kama malkia fulan, sasa nikitoka naye out macho ya watu kodo nitafute dawa gani kodo isiwepo ndugu
 
Vaa miwani ya mbao usiwaone au na wewe ukitoka jumuika nao kumkodolea macho mpenzi wako utagundua kwa nini watu wanamkodolea macho
Aangalie tu akikodoa sana anaweza ona kinachoshangaliwa na wengine na pengine ni dosari itakayomfanya abadili mtazamo wa demu wake kuwa malaika baada ya kugundua ni kibwengo. Si kila kikodolewacho macho ni kizuri, watu watakodoa macho hata kama akipita shetani.
 
mpenz wangu kaumbika kama malkia flan xaxa nikitoka nae out macho ya watu kodo nitafute dawa gani kodo isiwepo ndugu
Mh.Magufuli, Salamu! Hizi fikra mbovu tunazipata kwa njia ya maandishi kutoka kwa raia unao waongoza. Je bado una ile ndoto ya kuwa na TZ ya viwanda??? Andika N kama jibu lako ni ndiyo, H kama jibu lako ni hapana ua S kama jibu lako ni sijui...Msalimie Mama Janeth.
 
wanakuone huruma kwajinsi kijana mdogo unavyopotea kwa kasi katika ulimwengu huu..
 
Mh.Magufuli, Salamu! Hizi fikra mbovu tunazipata kwa njia ya maandishi kutoka kwa raia unao waongoza. Je bado una ile ndoto ya kuwa na TZ ya viwanda??? Andika N kama jibu lako ni ndiyo, H kama jibu lako ni hapana ua S kama jibu lako ni sijui...Msalimie Mama Janeth.
hahaaaaa..nimecheka sana aseee..
 
Inamaana wewe huna hio tabia ya kukodelea vya wengine? By tha way macho hayana pazia kijana, weka picha tukushauri.
 
Back
Top Bottom