Nina mpango wa kuoa divorced lady

Dada pole. nakubaliana na wewe kabisa. Ila sisi wengine tunakuwa-driven na mila na jamii zinazotuzunguka. ingawa mila mbaya tuziache nami niliziacha zamani, lakini la koua mwanamke ambaye amezaa "KAYAMBA" mila hiyo bado naiunga mkono maana naona ni bora kijana uoe msichana! Na msichana aolewe na kijana, kwa wanaume walio oa unatafuta nini?
Kwani huyu kayamba alizaa na nani bila shaka na kayamba wa kiume. Lakini kayamba wa kiume yeye ana haki ya kuoa msichana mbichi. Ndo maana mnalaaniwa na vizazi vyenu au unamwita mtu kayamba ushamzalisha unaenda oa huyo mbichi afu unamletea wanao toka kwa kayamba wananyanyaswa weee mpaka future zao zinatoweka na ndoa inakosa amani. Mfikiriege that karma will always follow u somewhere.
 
Dada pole. nakubaliana na wewe kabisa. Ila sisi wengine tunakuwa-driven na mila na jamii zinazotuzunguka. ingawa mila mbaya tuziache nami niliziacha zamani, lakini la koua mwanamke ambaye amezaa "KAYAMBA" mila hiyo bado naiunga mkono maana naona ni bora kijana uoe msichana! Na msichana aolewe na kijana, kwa wanaume walio oa unatafuta nini?
Pole kwa kuwa driven na hizo mila. Ila muangalie hizo mila zenu mkaege nazo hukohuko kwa maana muoane wenyewe. Na pia ukiwa driven na mila kiasi cha kumdharau mwanamke hivyo sehemu nyingine utaonekana wa ajabu. Bila shaka we ni kanda ya ziwa maana ndo zenu mwanamke ni kama takataka flani hivi.
 
Kama mwanamke si bikra, jua ni "divorced' somewhere, ila tu makaratasi hayakuwa involved.
 
  • Thanks
Reactions: ram
oa tu, maisha ni maisha ilimradi kama mmeridhiana tabia hamna shida, mahusiano hayana kanuni unaweza mchukua fresh akakuboa vibaya na huyu diforced mkafurahia life.
 
wewe unaumwa wewe, labda dada zako na shangai zako ndio kayamba

Kwanza wewe kabila gani? Kama mila zako zinakuruhusu songa mbele(najua dini zote hazina kipingamizi??) ingawa nisingelikushauri kuoa "KAYAMBA". Katika wasichana wote TZ nzima hukuona anayekufaa mpaka "Kayamba" Kwa nini hutaki msichana? Nadhani wewe ni dhaifu wa mapenzi!! Makabila mengine kuoa "Kayamba" ni kashifa kwako, unaonyesha to what extent you are weak to women love.
 
Hakuna tatizo, chukua jumla, kama mwelewa atakuwa amejifunza vitu vingi kama kosa lilikuwa lake na kama kosa lilikuwa la mumewe bila ya shaka utakua umeopoa dhahabu
 
wewe unaumwa wewe, labda dada zako na shangai zako ndio kayamba

Usichukie dada, maneno sikuyatunga mimi, nimeyakuta. Nina dada /watoto wamezaa bila kuolewa, Ni KAYAMBA, you are right. Mwanamke aliyezaa bila kuolewa anaitwa Kayamba! Nina kosa gani. Wanaume sijui wanaitwaje. Umenichukia bure. These are terms describing people with different characters. Mwanamke anayefanya biashara ya ngono anaitwa malaya, mwanamume anayekunywa pombe nyingi anaitwa Mlevi. Pole kama neno limekukwaza.
 
Pole kwa kuwa driven na hizo mila. Ila muangalie hizo mila zenu mkaege nazo hukohuko kwa maana muoane wenyewe. Na pia ukiwa driven na mila kiasi cha kumdharau mwanamke hivyo sehemu nyingine utaonekana wa ajabu. Bila shaka we ni kanda ya ziwa maana ndo zenu mwanamke ni kama takataka flani hivi.

Hapana wanawake ni mama zetu huwezi kumwona kama takataka. Nawaheshimu sana, nina mke siwezi kumwona takataka. Ila kama nimemuoa amezaa, nimeoa Kayamba!! Hilo nalikubali! Pole naona nimewakwaza wengi. Mnisamehe sirudii tena.
 
Ila sio vizuri kuwakashfu wanawake, kumbuka mwanamke ndio amekuleta duniani, amekulea hadi ukafika hapo ulipo, angeamua angukunyongelea mbali usionekane katika uso wa dunia

Usichukie dada, maneno sikuyatunga mimi, nimeyakuta. Nina dada /watoto wamezaa bila kuolewa, Ni KAYAMBA, you are right. Mwanamke aliyezaa bila kuolewa anaitwa Kayamba! Nina kosa gani. Wanaume sijui wanaitwaje. Umenichukia bure. These are terms describing people with different characters. Mwanamke anayefanya biashara ya ngono anaitwa malaya, mwanamume anayekunywa pombe nyingi anaitwa Mlevi. Pole kama neno limekukwaza.
 
KAYAMBA KAYAMBA KAYAMBA KAYAMBA, Duh! Hii term naona umewakwaza wengi lakini na sie wengine tumejua kuwa hapa Tanzania kuna wanawake wanaitwa Kayamba, kuna wimbo ulisema Manungayepe wabunge wakaja juu
 
Ila sio vizuri kuwakashfu wanawake, kumbuka mwanamke ndio amekuleta duniani, amekulea hadi ukafika hapo ulipo, angeamua angukunyongelea mbali usionekane katika uso wa dunia

Pole mpendwa kama nimekukwaza. Nisamehe katika Jina la Bwana. Sitatumia neno hilo tena- derogatory word anyway!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom