Nina mkosi jamani…{msaada Plz)

yaani kwa mwanamke,sex ni kitu cha mwisho kabisa..

Unless wengine ambao wana utofauti,ila mara nyingi wanataka wajue na kuhakikisha kuwa wanapendwa...
Saa nyingine wanahisi unataka tu kuwaongezea "mileage" pasipo sababu za msingi!

Sex kwao...ni kitu cha baadaye sana..
 
Siku zote dharula huvunja sheria,kama anakutajia tatizo la period fanye mpango mwingine ili umalize haja yako. Mfano kama umezoea kula ubwabwa usiku kila siku na siku moja ubwabwa haupo ila kuna ugali kwa hiyo utalala na njaa?
 
Badilisha mikakati. Inaonesha haja yako ni kumega na kusepa na emekushitukia.
Kama unampenda kweli mwoneshe kuwa nia yako sio tunda tu.
 
Siku zote dharula huvunja sheria,kama anakutajia tatizo la period fanye mpango mwingine ili umalize haja yako. Mfano kama umezoea kula ubwabwa usiku kila siku na siku moja ubwabwa haupo ila kuna ugali kwa hiyo utalala na njaa?

Sasa hapo fafanua kidogo, itabidi nile nini??
 
Huo si mkosi ! Inshort una Kimavi, but kinatibika hicho. Una muda inbox Pm mlango u'wazi. Utasaidiwa.
 
Hivi nyie siku zote mnawaza madhambi tu, hakuna wakati wa kumkumbuka mungu kidogo?
 
Back
Top Bottom