Nina mkosi jamani…{msaada Plz)

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Wana Jf kuna manzi mmoja ambaye ni mzuri sana amebarikiwa, ana asili ya kitusi. Miezi 3 ilopita tulipanga tukutane sehemu ili nimfaidi. Alikuja na akaniambia kuwa hataweza kunipa tunda kwa sababu amepata period jana,
na amekuja ili nisimuone mzushi. Mwezi ulopita tukapanga tena na nilipokutana naye akaniomba samahani na kuniambia wakati yuko njiani anakuja kapatwa na period.Na akaniomba nimpeleke dukani akanunue pad.
Juzi nikapanga naye tukutane akaja jana, Wakati najianda kula tunda akaniambia subiri kidogo, nikamuuliza nini? Akaniambia amepata period na sasa hivi ndio imemuanza.
Sasa wana Jf hii imekaaje? Kuna jinsi ya kutatua hili tatizo…….
 
Kwani wewe na yeye tarehe hamzi angalii au anaipata kwa uwoga sura yako inamtishia?

Nimemuuliza inakuwaje anapata period bila mpangilio, akanijibu kuwa period mara nyingine haifati tarehe, inasababishwa na stress na mambo mengine
 
Wana Jf kuna manzi mmoja ambaye ni mzuri sana amebarikiwa, ana asili ya kitusi. Miezi 3 ilopita tulipanga tukutane sehemu ili nimfaidi. Alikuja na akaniambia kuwa hataweza kunipa tunda kwa sababu amepata period jana,
na amekuja ili nisimuone mzushi.Mwezi ulopita tukapanga tena na nilipokutana naye akaniomba samahani na kuniambia wakati yuko njiani anakuja kapatwa na period.Na akaniomba nimpeleke dukani akanunue pad.
Juzi nikapanga naye tukutane akaja jana, Wakati najianda kula tunda akaniambia subiri kidogo, nikamuuliza nini? Akaniambia amepata period na sasa hivi ndio imemuanza.
Sasa wana Jf hii imekaaje? Kuna jinsi ya kutatua hili tatizo…….

Kwani ukila wkt anatoka period unapata madhara gani?
 
Unamstress boflo! Kama anajua hii id yako pia inaweza kuwa chanzo. Achana na kuonjeshwa, muambie akuonyeshe wazazi ulipie mahari uoe kabisa! Hiyo period hata ikija siku ya harusi, si itaisha tu afu utafaudu kwa raha zako hadi kifo kiwatenganishe!
 
haya bana..... unafikiri kuoa mchezo
 
Wana Jf kuna manzi mmoja ambaye ni mzuri sana amebarikiwa, ana asili ya kitusi. Miezi 3 ilopita tulipanga tukutane sehemu ili nimfaidi. Alikuja na akaniambia kuwa hataweza kunipa tunda kwa sababu amepata period jana,
na amekuja ili nisimuone mzushi.Mwezi ulopita tukapanga tena na nilipokutana naye akaniomba samahani na kuniambia wakati yuko njiani anakuja kapatwa na period.Na akaniomba nimpeleke dukani akanunue pad.
Juzi nikapanga naye tukutane akaja jana, Wakati najianda kula tunda akaniambia subiri kidogo, nikamuuliza nini? Akaniambia amepata period na sasa hivi ndio imemuanza.
Sasa wana Jf hii imekaaje? Kuna jinsi ya kutatua hili tatizo…….

Kwa nini nisiamini kuwa huyo mtu wako ni nataka sitaki? Halafu kwa nini sababu yake kubwa ni hiyo per***? Binafsi huwa sipendi kusikia natajiwa hiyo kitu mara kwa mara, ila inawezekana haya ni matatizo yangu binafsi.
 
Dah boflo hii habari yako nimeipenda....
Hivi wewe ushawahi prove kuwa yuko na hali hiyo?
Kama ni kweli huwa anakuwa kwenye period basi tena kwa ghafla basi anatakuwa na matatizo na ni vema ukamsaidia kumfanyia uchunguzi maana si kawaida na je huwa ni tarehe zake au?
 
We nae, akisha kwambia yuko katika period leo,
kwa nini unasubiri mwezi ndio tena upange?
Subiri siku kumi halafu pangeni kuonana tena.
 
Nilikua nasoma gazeti la sani "visa vya dokta love pimbi". Jamaa kila akitongoza dem na kukubaliwa, lazima litokee timbwili na kuishia kula kwa macho! Ingekua mimi, nahesabu siku kadhaa baada ya period naomba mchezo!
 
We nae, akisha kwambia yuko katika period leo,
kwa nini unasubiri mwezi ndio tena upange?
Subiri siku kumi halafu pangeni kuonana tena.

Siwezi kupanga namna hiyo, mpaka ninapokuwa na hela ndio mipango inakuja...
 
Dah... Mi nakushauri uzoeane naye... Lunch,dinner,cinema,beach,etc.

Baadaye stori za "period" zitayeyuka tu!
 
Mie nafikiri bado hajaamua kama anataka kuwa na wewe au bado anaangalia kwengine.period kila siku ndio kisingizio!!
 
Pia inawezekana hakupendi,kama anakupenda hana sababu ya kuwa mchoyo. Hiyo period ni sababu ya kukukatisha tamaa uchoke kumfuatilia.
 
Back
Top Bottom