Nina milion 1 nahitaji photocopy machine

ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,844
232
Ninahitaji photocopy machine used hata mpya its okey with me as long isizidi one milion iwe katika hali nzuri atleast iwe imetoa copy nyingi ila isiwenyingi saaana. alafu iwe na ADF (automatic document feeder) ile parts inayokuwa juu inavuta karatasi yenyewe. Ikipatikana Canon yenye usb port na dublex mechanism itakuwa nzuri zaidi na wakilisha. call 0687014710 0r 0713943995 mza
 
Wadau wa maelectronics mpo wapi? hii kitu inahitajika haraka
 
mnh juzi nlitafuta used nkakuta bei juu kuliko hizo brand new no guarantee no warranty.... Masumin printways:BRAND NEW: canon ir series 2420 zinaanzia 2mil..
 
mnh juzi nlitafuta used nkakuta bei juu kuliko hizo brand new no guarantee no warranty.... Masumin printways:BRAND NEW: canon ir series 2420 zinaanzia 2mil..

Dah! m2 parefu ngoja nijaribu tuone ikishindikana itanibidi.
 
nlienda sofia house pale mkabala na veta.... Wanauza hizo canon used ila wanabei....nenda kajaribu bahati yako si unajua wanataja bei kwa kuangalia sura...pale zipo kibaoooo
 
Back
Top Bottom