Nina miaka 30 bado bikira, naomba ushauri

duuuuh nlijua mdada kaandika kumbe n mwanaume pumbaaaaafu!!!! endelea kutnza vzr iyo bkra ukfka miaka 60 ztazaliana utakua na bikra mbili!!! pumbafuuuuuu
 
Kama upo moro nenda ....kaumba
Kama upo dar...kuna ohio, uwanja wa fisi, kwa wahaya tmk.... jaman msaidien na mikoa mingne znapopatkana bidhaa...
 
Nna wadogo zangu hapa home, wanauliza mshahara wako ni kiasi gani walinganishe na wa hawa wengine walionao. Jibu fasta nafasi ni chache
 
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati najiandaa kuwa immersed in love akanikimbia bila sababu,sasa nina miaka 30 bado sijawahi ku du hata mara moja,kama fedha za kujikimu nianazo,proffessionaly ni wakili wa kujitegemea,na ka u handsome kapo,sasa sijui tatizo langu ni nini.

Naomba ushauri ili nisije pata tena nikakimbiwa...

Tofauti uliyo nayo, upo tofauti na wanaume wengine kiongozi, Mwanaume Rijali hupaswi kuwa na nidhamu ya woga ama kukosa ujasiri, kukaa na msichana miaka mitatu bila kufanya, na bado hujamtangazia ndoa, daah hukusomeka kabisa.
Mwanamke akija kwako siku zote mpe direction yako ya maisha na plan yako juu yake, very simple.
 
duuuuh nlijua mdada kaandika kumbe n mwanaume pumbaaaaafu!!!! endelea kutnza vzr iyo bkra ukfka miaka 60 ztazaliana utakua na bikra mbili!!! pumbafuuuuuu

hahahaaaaaaaaa u hav mad my day.
mtoa mada naomba nikutoe bikira
 
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati najiandaa kuwa immersed in love akanikimbia bila sababu,sasa nina miaka 30 bado sijawahi ku du hata mara moja,kama fedha za kujikimu nianazo,proffessionaly ni wakili wa kujitegemea,na ka u handsome kapo,sasa sijui tatizo langu ni nini.

Naomba ushauri ili nisije pata tena nikakimbiwa...

Basi utakuwa unanuka kikwapa.... Jiangalie.:becky:
 
Kuwa makini aisee...kama umepitia shule na hasa hizi za kisayansi...kuna mtu anaitwa charles darwins nadhani....huyu alisema kiungo kisipotumika kwa muda mrefu kinakwisha...ndio maana mbuzi mkia unaisha na ngombe mkia unaongezeka....vivo hivyo twiga shingo inarefuka tuu kwakuwa anakimbizana na matawi ya juu.

Usipotumia kifanyio chako kwa muda mrefu kitaisha aisee....na mwisho wa siku utaanza kutafunwa wewe.

Kuwa makini our learned brothers...your honour/ your majesty lawyer/attorney.
 
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati najiandaa kuwa immersed in love akanikimbia bila sababu,sasa nina miaka 30 bado sijawahi ku du hata mara moja,kama fedha za kujikimu nianazo,proffessionaly ni wakili wa kujitegemea,na ka u handsome kapo,sasa sijui tatizo langu ni nini.

Naomba ushauri ili nisije pata tena nikakimbiwa...

Pengine unakaa nao muda mrefu mno bira angalo kujifanya unataka au kluonyesha una uchu na maku!!!!!! na wao kuhisi ni Bushoke!
 
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati najiandaa kuwa immersed in love akanikimbia bila sababu,sasa nina miaka 30 bado sijawahi ku du hata mara moja,kama fedha za kujikimu nianazo,proffessionaly ni wakili wa kujitegemea,na ka u handsome kapo,sasa sijui tatizo langu ni nini.

Naomba ushauri ili nisije pata tena nikakimbiwa...

Miaka 3 demu unataka demu akuvumilie tu hata busu hapati? Au shoga wewe
 
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati najiandaa kuwa immersed in love akanikimbia bila sababu,sasa nina miaka 30 bado sijawahi ku du hata mara moja,kama fedha za kujikimu nianazo,proffessionaly ni wakili wa kujitegemea,na ka u handsome kapo,sasa sijui tatizo langu ni nini.

Naomba ushauri ili nisije pata tena nikakimbiwa...

Lazima kuna shida..mtu hawez kukiacha ivo ivo.
Wewe una shida au hao marafik zako.
 
Back
Top Bottom