Nina miaka 24, sijawahi tembea na mwanamke...

nadhan toka nimeanza kutembelea threads za jukwaa hili cjawah ona mbulula ka ww; yan mpaka age hyo still hujaonja, sa utaonja nan arif? ila nckunange sana labda w n mkwez mashuhur:D:D:D:D:D
 
Tatizo hapo bro unapiga sana punyeto kitu ambacho kitakuhatarishia maisha yako ya mahusiano maana ni kweli kama unagonga hiyo kitu amini kiganja chako kimechukua nafasi ya mwanamke maishani mwakio!
 
Um PM mdau Eiyer mfungue club yenu,kumbe mko wengi humu jamvini? At 24 ungekuwa mwanangu hakika ningeshaogopa kuona mwanangu hajichanganyi.

what
if
angekuwa
msichana
ungeogopa
pia?
 
Last edited by a moderator:
simjui mwanamke till now but im 24 years and graduate? but i some times tamani, i fear to seduce a girl since i hav no practical knowledge of love making.

Yani hata kutembea na mama yako kwenda kanisani hujawahi?
 
Tatizo hapo bro unapiga sana punyeto kitu ambacho kitakuhatarishia maisha yako ya mahusiano maana ni kweli kama unagonga hiyo kitu amini kiganja chako kimechukua nafasi ya mwanamke maishani mwakio!

unamaanisha jamaa anapiga punyeto mpaka ile mistari ya kwenye kiganja imefutika??
 
Miaka 24 ni umri mdogo sana wala si ajabu hata kidogo kama umeamua kujitunza mpaka uoe,hilo ni jambo jema Mie nina miaka 32 sijawahi kuwa na mahusiano yeyote ya kimwili na mwanamke chini ya jua na ninahisia kali sana tena labda zaidi hata ya hao wanaoshindwa kuvumilia.Ninataraji kuoa ndani ya miaka hii miwili ila namwomba Mungu anijalie mke anayeelewa nini maana ya ndoa takatifu.Na kamwe nimeapa sitatoka nje ya ndoa mpaka kufa hata kama nitakayempata atanisaliti au kunitendea ubaya w
 
Mkuu kama kweli nikupe hongera zako!
 
Tuliza ball dogo. Tafuta mke oa mimi nilioa nikiwa na 29 nikiwa bikra mambo mengine hujipa yenyewe cha msingi ingia kwenye net google na jifunze jinsi ya kumfikisha mke kileleni (yaani kumpa orgasm za aina zote), different styles and how to Last long in bed.Siku hizi hakuna mambo ya experience utandawazi unafundisha kila kitu.Kuhusu kutongoza wewe approach mwanamke unayempenda kama kweli mwanamke anakupenda kwa dhati wala hakusumbui.Pia kama ulikuwa unajitunza kiukweli kabisa basi wanawake wengi watakuwa tayari kuolewa nawe hasa wanaojua historia yako vizuri.
Best wishes.
 
Back
Top Bottom