Nina miaka 24, sijawahi tembea na mwanamke...

simjui mwanamke till now but im 24 years and graduate? but i some times tamani, i fear to seduce a girl since i hav no practical knowledge of love making.

usiwe na haraka mkuu,maana hata wachina 30 bado ni bikira kwa pande zote mbili wanawake na wanaume,hivi vitu huja vyenyewe usikimbilie
 
Nampa pole huyo utakaye do naye for the first time maana anaweza kuumwa tumbo kwa ufanyaji wako wa kinjaa njaa,pia ushauri wangu ni kuwa hiyo siku utakayofanya hilo tendo jizibe mdomo kwa kutumia gundi au plasta maana unaweza jikuta unamuuma mwenzio kwa utamu utakao upata.

hahaha ziba mdomo,hahahah
 
Kweli we noma, si wengine tumeanza mapemaaaa na mafundi wetu walikuwa ma-beki 3, kk nina wasi2 mapenzi yatakutendakm ukiyaanza, hio kitu lazima upate ka ufundi ukiwa mdogo, uwe makini aisee adha wise utaona love affairs ni mbaya.
 
angalia mikanda ya porn,somavijarida,browse internet for adult content-mambo....utajifunza tu,mwisho jiamini wote hakuna aliyetufunza ukimpata wako utajua nini cha kufanya mbele ya safari.....:A S-baby::A S-baby:

Hivi bado ipo tu
 
Miaka 24 ni umri mdogo sana wala si ajabu hata kidogo kama umeamua kujitunza mpaka uoe,hilo ni jambo jema Mie nina miaka 32 sijawahi kuwa na mahusiano yeyote ya kimwili na mwanamke chini ya jua na ninahisia kali sana tena labda zaidi hata ya hao wanaoshindwa kuvumilia.Ninataraji kuoa ndani ya miaka hii miwili ila namwomba Mungu anijalie mke anayeelewa nini maana ya ndoa takatifu.Na kamwe nimeapa sitatoka nje ya ndoa mpaka kufa hata kama nitakayempata atanisaliti au kunitendea ubaya wa aina gani.Nimejifunza kuishi kwa uaminifu mbele ya Mungu na wanadamu.Believe or not kutamani mwanamke ni natural na it is unkwepabo no matter what lakini kuamua kushirikiana nae kimwili ni jambo jingine ambalo linahitaji akili na maamuzi,kwa hiyo mimi naamini mtu yeyote akisema sitotenda hilo jambo no matter what the circumstances,utaweza.Nimepita yote from school to college na nimeishi gheto 15 years nikiwa huru sijatenda,je nini cha ajabu leo kwangu?Nimesha kaa Ulaya kwa miaka miwili tena ktk mazingira ambayo hata mwenye imani sijui!na nataka wanawake muamini kuwa wapo wanaume kibao ambao wanamisimamo ya uaminifu wa hali ya juu kwenye ndoa,shida ni hii.mfano mimi nawafahamu vijana kaadhaa kila ninapoishi wapo hivyo na wengi wao are my friends,wote kuoa swali linalowasumbua je mke mwema ni nani awezaye kumjua? naamini na akina dada wapo pia wengi tuu ila nao shida hawajui kam hawa wanaume wapo,usiamini mtu yeyote anayesema eti hakuna mwanamke au mwanamme mwaminifu leo au bikra huwezi kujua kwa macho,umdhaniaye siye ndie ndie kumbe sie but Mungu anawajua watu wake daima.
 
Natafuta mchumba mzuri anaye jua kuogelea anifundishe.kesho naratba ya kwenda beach.napatikana kwanamba0766301789.
 
Fereke, akyanani siku ya kwanza anzia kutoboa godoro kwanza lol

na nahisi hiyo chumvi itakuwa imeshaprecipitate tayari kwa kuongezwa iodine, kupakiwa na kusambazwa kwa walaji.

At 32?
 
Last edited by a moderator:
nafikiri hizo mbegu zako zimekauka zimeshakua unga duh, 24yrs utaanzia wapi kujifunza wenzako tumeanza na mahouse girl na wote tukiwa hatujui kwenye miaka 14 hivi, sasa wewe na miaka 24 baba kazi unayo bora ukaacha tu ukawa faza
 
hapo zamani za kale ng'ombe na mbuzi walikuwa marafiki sana na wote walikuwa na mikia mirefu kama ng'ombe,ng'ombe akawa anatumia mkia wake kufukuzia nzi na wadudu mbalimbali lakini mbuzi kwa UVIVU wake akawa hautumii mkia wake,kwa vile mkia wa mbuzi ulikuwa hautumiki ukanywea na kuwa mfupi!ndio maana mbuzi ana mkia mfupi na anajaribu kuutumia mkia huo mfupi kufukuzia nzi na wadudu mbalimbali kwa vile amegundua asipofanya hivyo UTAYEYUKA KABISA!hadithi yangu imeishia hapa!
 
Hata mimi nilikuwa hivyo mpaka nikamaliza chuo, ila nilipoonja tuu, sasa hivi sikamatiki mtu wangu ninajua utadhani nina uzoefu wa miaka 50, kila dem ninayemkamua anapagawa wengine mpaka wananiambia kama vile nimesomea. Kazanaa tuu chukua ushauri uliotolewa utaweza tuu usijali
 
simjui mwanamke till now but im 24 years and graduate? but i some times tamani, i fear to seduce a girl since i hav no practical knowledge of love making.

pole sana, hata mm nilimaliza university bila kujua hiyo kitu. Lakini baada ya muda nilibahatika kupata girl friend bikira tena 3rd yr university student.Ilianza hivi, ww mdogo wake (....) hapana, ulishawahi kuniona. answer: eeeh!? kaka yako ni nani vile kama nimemsahau vile!(jibu la mkato). Sina kaka. Samahani unaboy friend? Jibu:mm..nini, eti boyfriend? Hapana nataka uwe rafiki yangu.MMM..naogopa! cna muda wa kuendelea lakini ilikuwa kitu kitu mpya ....nilichoka nikalala siku nzima! ninaye mpaka leo na sitegemei kuwa na mwingine.Omba mungu utampata anayefanana na ww ......so dont worry ww mshamba na yy mshamba ngoma drooooooooo.
 
kama hata nyeto hujawai piga basi nakupa hongera sana. unafaa kuwa mfano wa kuigwa kwa vijana wa siku hizi. nakushauri usianze mapema hadi pale utakapooa kwasababu icho kitu ni kitamu sana ukianza sasaivi utaparamia hadi upate ngoma, na safari yako yote ya ku abstain itakuwa ilikuwa bure.
 
We ckiliza ushauri wa kwenye keyboard,watu wanajifanya wajanja wakupoteze wakat awajawai kufanya hata tukio mtaani kwao la kutishia kubaka
 
Miaka 24 ni umri mdogo sana wala si ajabu hata kidogo kama umeamua kujitunza mpaka uoe,hilo ni jambo jema Mie nina miaka 32 sijawahi kuwa na mahusiano yeyote ya kimwili na mwanamke chini ya jua na ninahisia kali sana tena labda zaidi hata ya hao wanaoshindwa kuvumilia.Ninataraji kuoa ndani ya miaka hii miwili ila namwomba Mungu anijalie mke anayeelewa nini maana ya ndoa takatifu.Na kamwe nimeapa sitatoka nje ya ndoa mpaka kufa hata kama nitakayempata atanisaliti au kunitendea ubaya wa aina gani.Nimejifunza kuishi kwa uaminifu mbele ya Mungu na wanadamu.Believe or not kutamani mwanamke ni natural na it is unkwepabo no matter what lakini kuamua kushirikiana nae kimwili ni jambo jingine ambalo linahitaji akili na maamuzi,kwa hiyo mimi naamini mtu yeyote akisema sitotenda hilo jambo no matter what the circumstances,utaweza.Nimepita yote from school to college na nimeishi gheto 15 years nikiwa huru sijatenda,je nini cha ajabu leo kwangu?Nimesha kaa Ulaya kwa miaka miwili tena ktk mazingira ambayo hata mwenye imani sijui!na nataka wanawake muamini kuwa wapo wanaume kibao ambao wanamisimamo ya uaminifu wa hali ya juu kwenye ndoa,shida ni hii.mfano mimi nawafahamu vijana kaadhaa kila ninapoishi wapo hivyo na wengi wao are my friends,wote kuoa swali linalowasumbua je mke mwema ni nani awezaye kumjua? naamini na akina dada wapo pia wengi tuu ila nao shida hawajui kam hawa wanaume wapo,usiamini mtu yeyote anayesema eti hakuna mwanamke au mwanamme mwaminifu leo au bikra huwezi kujua kwa macho,umdhaniaye siye ndie ndie kumbe sie but Mungu anawajua watu wake daima.

umenigusa mkuu.
 
Back
Top Bottom