Nina miaka 24, sijawahi tembea na mwanamke...

kaza buti mpaka utakapofunga ndoa otherwise km ni mfuasi wa kameroon.

yaser Usimdanganye mwenzako wewe.
Mtafute mtu mmoja anaitwa Kongosho nimesikia anautaalamu wa kuwasaidia nyu kamaz kama wewe. Usiogope mwayego.
 
Last edited by a moderator:
Nye ndo wale mkianza kupenda halafu mkitendwa mnajitundika kamba au kunywa sumu
 
Sidhani kama ni practical knowledge of love making, maana hiyo inakuja naturally haina macho but haiwezi kosea pa kuingilia, tatizo ni udomo zege kaza buti na ujifunge kibwebwe
 
wewe dogo vumilia usiwe na haraka ila usitamani kwani ukiingia huko utatamani usingejaribu unaeza hata ukapoteza muelekeo wa masomo kwani utataka kuonesha nawe umo hapo ndio kosa
 
simjui mwanamke till now but im 24 years and graduate? but i some times tamani, i fear to seduce a girl since i hav no practical knowledge of love making.

hujawahi kutembea kwenda wapi?sijakuelewa yaani wewe maisha yako yote unatembea hata kwenda shule,kanisanai ,sokoni na wanaume tu...hakuna wasichana unaoembea nao mkiwa mnaenda kanisanai au shule?
 
umenichekesha sana Bishanga.

Ningekuwa mie ningemsababishia abakwe na msichana hata kama ni kwa kumfunga miguu.


Umenikumbusha baba mmoja huko kijijini alimlazimisha kijana wake wa miaka 19 kuoa binti wa miaka 16, ilikuwa kichekesho.

Ujue kule mwali akija watu wanasubiri mme aoe(afanye tukio) na anaulizwa, sasa hivi vitoto kila wakienda kuvitazama vinapiga story tu.

Wee, mbona ilibidi kaka zake wakamshikilizie ili aoe kwa nguvu, lol ingekuwa ni sasa Tamwa wangepata ajira.
Um PM mdau Eiyer mfungue club yenu,kumbe mko wengi humu jamvini? At 24 ungekuwa mwanangu hakika ningeshaogopa kuona mwanangu hajichanganyi.
 
Last edited by a moderator:
sasa hivi hakuna jando na unyago nenda bookshop hasa za makanisa tafuta vitabu vinavyo husu ndoa utajifunza mambomengi humo
 
Utajua tu siku itakapofika kila mtu alianzia hapo, usirush wala usione umechelewa!
N.B Ana raha huyo atakae kuanza teh teh
 
ha ha ha ha, huyu nyu kama anataka kuanza kwa kasi sana.

Namtransfer kwa Erotica.

Mmh, kuwaga na huruma, mwenzako amesema hajui ei wala be ya hii mambo, sasa ukimpeleka kwa huyo Erotica si atam-concussion kijana wa watu, maana Erotica ni kama hospital ya rufaa.
 
Last edited by a moderator:
angalia mikanda ya porn,somavijarida,browse internet for adult content-mambo....utajifunza tu,mwisho jiamini wote hakuna aliyetufunza ukimpata wako utajua nini cha kufanya mbele ya safari.....:A S-baby::A S-baby:
Jestina mbona kama huku unakomtuma ni kule kunakoletaga ma roho mabaya ya ushetani?

to me nampongeza sana huyu kijana ni kijana mzuri sana tena mwenye hofu ya Mungu, usiogope wala kuona kama umechelewa hapa it is neva late. fanya kazi kwanza mdogo wangu, haya ya wadada spare hadi ufike japo miaka 29 utakapooa, kamwe usijaribu dogo manake waweza kuangukia mahali pabaya sana tena hayahitaj hata experience manake hata baba yako siku ya kwanza kuoa alikuwa hajawah kuoa tena.

ni vyema kama ukapendelea kuwa na kampani ya wadada na wakaka just for fun like kwenda movies lkn siyo kwa mambo ya ngono dogo. na sikufichi mshedede haunaga kujifunza wenyewe unajua njia ya kupita. Nakusihi sana usiangalie porn labda soma vitabu ambavyo vinaelezea maumbile lakini siyo majarida ya ngono. nimekupenda ghafla kwa jinsi ulivyojitunza.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana kijana kwa kujitunza.
Endelea kuvumilia mpaka utakapooa achana na ushauri unaopewa wa kuangalia picha za ngono.
 
simjui mwanamke till now but im 24 years and graduate? but i some times tamani, i fear to seduce a girl since i hav no practical knowledge of love making.

Hongera sana,Pale temeke mwisho kuna shule inafundisha kutongoza,ndipo mimi nilipojifunzia.Kwa maelezo yako wewe inaonekana inabidi uingie "fisi maji class" kama ilivyo kwa watoto wa chekechea utasikia 'naby class' huko kuna fisi maji class, punda class na la juu ni simbilisi class.Hayo madarasa yote yana maana yake...... Lakini Feeeeez si bora ukae hivyo hivyo? manake napo ukifuzu ukaonja hutaacha na nnavyokuona...,unaweza geuka kuwa fisimaji mtaani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom