Nina Meseji 999, nitumie 1 Ziwe...

Acha Uvivu

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
525
131
Wife: my husband, itz time to wake up for work.
Husband: ooh no, today I am not going.

Wife: why you don't?
Husband: I got fired by my boss.

Wife: why?
Husband: I don't know, I just kissed his wife.

Chezea Hangover Wewe!
 
Hiyo ni moja tu kati ya sms 999 kwenye simu yangu. Lakini japo weka 1 tu zifike 1000.
 
hee najaribu kukutumia sms lakini haiji, kutahamaki kumbe sina salio hebu nirecharge afu nikutext!
 
Haya pata hii,

Mama, we masai nimekuambia tabia ya kuanika chupi zako hapo karibu na mlango ife

Masai, mama sio mimi ijaanika wala sijui ni nani.

Mama, hata kama sio zako nimekwambia sitaki kuziona zitoe hapo.

Masai, haya mama mi nitazitoa lakini mimi sivaagi chupi kabisa iulize hata ile ndito yako inajua
 
Naulizia kama kuna mtu kamuona mamndenyi wangu jamani. I just can't to see her. Ukimuona tell her my husband wake anataka aje hapa walale.
 
Back
Top Bottom