Nina mchumba, nitakufikiria wewe

laun

Senior Member
Sep 5, 2011
111
26
Binti kaniacha njia panda,nilipomseduce aliniambia ana mchumba,nilipoendelea kumapproach anasema atanifikiria nimpe wiki moja . I m stuck kama ana mchumba ananifikiria ili iweje ? Au ndo danganya toto ?
 
mmmmhhh mkuu hii ishu kama ilishawaletwa hii post ya hivi jamvini humu..
 
Binti kaniacha njia panda,nilipomseduce aliniambia ana mchumba,nilipoendelea kumapproach anasema atanifikiria nimpe wiki moja . I m stuck kama ana mchumba ananifikiria ili iweje ? Au ndo danganya toto ?
Unamseduce_anakuambia ana mchumba......unaendelea kumapproach_anakuambia atakufikiria,sijaona kosa na usichokielewa hapo mkuu,...suala ni ung'ang'anizi wako ndio uliompelekea kutoa majibu hayo_ambayo for sure ni ya kistaarabu sana,maake angekua mwingine angekupa za uso_lakn huyu binti hakutaka kukuumiza...wachumba wa watu ni sumu_acha
 
Binti kaniacha njia panda,nilipomseduce aliniambia ana mchumba,nilipoendelea kumapproach anasema atanifikiria nimpe wiki moja . I m stuck kama ana mchumba ananifikiria ili iweje ? Au ndo danganya toto ?
sasa we ulimtongoza ili akukatae?
au ulitaka akwambie hana mchumba kwahyo atakufikiria? hawa watoto humu JF bana!
 
Achana nae, katumia tu lugha ya kistaarabu ili uache kumsumbua!
 
Hiyo ni feminine language = Laiti ungejua sitaki hata kukuona jisura lako. Sepa ama changanya malapa.
 
Sasa kwaufupi anamtu kama unajidai wewe nikidume kuliko mwenzio haya yavulie nguo maji uyaoge.....
 
I'm telling u,hana mtu huyo na kama anae unaweza kudo nae halafu ikawa poa tu kwake,thats the way dunia ilivyo nowdays!
 
hv hawa watu wanafikiriaga na manin maan ishakuwa kama ka 'fomula' hawawez kunyooka moja kwa moja
 
Binti kaniacha njia panda,nilipomseduce aliniambia ana mchumba,nilipoendelea kumapproach anasema atanifikiria nimpe wiki moja . I m stuck kama ana mchumba ananifikiria ili iweje ? Au ndo danganya toto ?
Vuta subira kwan hapo kuna mawili inawezekana ana mchumba kweli au anakusikilizia kuona urserious wako,kwavile kakujibu kistarabu tuliza boli baada ya wiki potezea km siku mbili hiv ukiona kimya,ulizia jibu,likiwa lilelile basi achana naye na usimsumbue na uheshimu maamuzi yake,km ukikubaliwa uwe makin coz huyu anaonekana ni msichana aliyemakini ktk maamuzi yake.
 
inawezekana yuko single na anataka kuangalia kama unajaribu tu au uko serious,vuta subira uone nini atakujibu after a week
 
Binti kaniacha njia panda,nilipomseduce aliniambia ana mchumba,nilipoendelea kumapproach anasema atanifikiria nimpe wiki moja . I m stuck kama ana mchumba ananifikiria ili iweje ? Au ndo danganya toto ?

in red...
ili aone jinsi gani akupange na hao uliomkuta nao, ni hilo tuuu...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom