tatizo mke wangu analaumiwa sana na ndugu zangu, eti hanipi chakula na yeye hana amani kabisa
acha uroho ni mbaya sana ndo maana unenepi na makulalamika..
Hata sijui sababu ni nini, maana kama ni kula nakula vizuri tu na mke wangu anajitahidi kunipikia mapochopocho mpaka basi lakini mwili wangu hauridhiki sijui kwanini, yaani nimekuwa na maumbile madogo wala sinenepi kabisaa mpaka ndugu zangu wanahisi kwamba huenda mke wangu hanipi chakula na ndio maana sinenepi kumbe binti wa watu anajitahidi kukalangiza lakini mwili wangu huu hauna shukurani.
Hebu nisaidieani, sababu hasa ya kukosa kwangu siha ni nini?
tatizo mke wangu analaumiwa sana na ndugu zangu, eti hanipi chakula na yeye hana amani kabisa
Unene ni ugonjwa. Shukuru MUNGU u mwembamba wanene tunahangaika Na mijidiet eti tupungue, wengine mwautafuta, nyeee, MUNGU Kazi anayo.
tatizo mke wangu analaumiwa sana na ndugu zangu, eti hanipi chakula na yeye hana amani kabisa
Hata sijui sababu ni nini, maana kama ni kula nakula vizuri tu na mke wangu anajitahidi kunipikia mapochopocho mpaka basi lakini mwili wangu hauridhiki sijui kwanini, yaani nimekuwa na maumbile madogo wala sinenepi kabisaa mpaka ndugu zangu wanahisi kwamba huenda mke wangu hanipi chakula na ndio maana sinenepi kumbe binti wa watu anajitahidi kukalangiza lakini mwili wangu huu hauna shukurani.
Hebu nisaidieani, sababu hasa ya kukosa kwangu siha ni nini?
Hata sijui sababu ni nini, maana kama ni kula nakula vizuri tu na mke wangu anajitahidi kunipikia mapochopocho mpaka basi lakini mwili wangu hauridhiki sijui kwanini, yaani nimekuwa na maumbile madogo wala sinenepi kabisaa mpaka ndugu zangu wanahisi kwamba huenda mke wangu hanipi chakula na ndio maana sinenepi kumbe binti wa watu anajitahidi kukalangiza lakini mwili wangu huu hauna shukurani.
Hebu nisaidieani, sababu hasa ya kukosa kwangu siha ni nini?
Kongosho, hiyo imani yenu nayo imepitiliza kama wembamba unaozungumziwa hapaNimecheka hii sredi lol
Kwani ukivua mbavu zinahesabika?
Ila watu wembamba huwa wamejazia mshedede, huwa hadi una hips:glasses-nerdy:
Kule kwetu kuna imani, wembamba ulopitiliza ni dalili ya ukaanga sumu.
Nimecheka hii sredi lol