Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,101
- 6,025
TZ employment iko chini sana, hivo faham kua you enter a saturated market. Ila ukitafuta vizuri, unaweza kupata, still. Here is my little advice:
Good luck!
- Focus katika aina fulani ya kazi unayo taka kufanya. Huwezi kua wazi kwa kazi zote kwa pamoja. Ukisoma mazingira ya sasa ya TZ utaona Mining Companie ndio ziko juu. Sababu nyingi zina dams (tailing Dams au water dam for raw water or waste) basi focus on those (this is just one of the area you can focus on, zingine zikiwa CBO, serikali, NGO au hata kujiajiri)
- Nenda LinkedIn, update your profile, add mining recruiters and HR managers from TZ mining companies, hasa zile ambazo zina expand, au zipo construction phase. Hata zingine zinaweza ku-recruit pia.
- Print few business card that have your qualification and phone number, spread them around. tafuta geologists, surveyors, mining engineers ambao tayari wako kazini na waeleze kua unatafuta kazi. Sometimes hawa watu wanauwezo hata kuliko HR katika kuvuta watu kazini.
- Of course, kama unataka kufanya kazi na serikali unaweza kufata same steps, but the place to meet the key people will change. Just make this job hunting your permanent job, until you get there. spend 8 hours on it daily, 5 times a week, iwe kwa kusoma, kwa kuandika, kwa kuzungumzia, kwa kukumbushia au kwa kufatilia.
well said Roullete...atafute those people who already employed, influence yao ni kubwa sana, Halafu hiyo field ni nzuri akiwa fighter nzuri hawezi kusota kamwe.