Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,456
Mkuu pia jaribu kuapply kazi nje ya Dar. Unaweza ukaenda Arusha au Moshi ukaanzia huko kwanza.
Organization management?? Hivi ukisoma kozi kama hii ndio unakuwa nani?
Hahahaha..you have made my day!!ORGANISATION MANAGER, lol????!!!!!!!!!!!!!!
Njooni 2pge box huku ughaibuni wakuu..
Nchi ya kitu kidogo.........watu wa kitu kidogo........

Mnaacha kupiga box, mnapanga maandamano ya kumpinga JK, kweli nyie hamnazo
Organization management?? Hivi ukisoma kozi kama hii ndio unakuwa nani?
Organization management?? Hivi ukisoma kozi kama hii ndio unakuwa nani?

katika kiwango cha masters, unahitaji kuwa na uzoefu wa angalau miaka mitatu kwani kwa mujibu wa miundo ya utumishi serikalini, unaweza kupata senior position (mfano senior administrative officer II). na shida itakuja kama una masters lakini huna huo uzoefu. hapo utakuwa bado unapungua sifa, kwa hiyo una option mbili.

1. jaribu private sector (ila ujiandae kwa ushindani mkali unaojali matokeo ingawa nako wanahitaji uzoefu pia)

2. tumia bachelor yako kutafutia kazi na ukishaipata utaangalia namna ya kunyofoa masters na kuianika ili kufikiriwa promotion kama itawezekana (hapo pia waweza kuangushwa na umri manake kama umri ni mkubwa, waajiri watasita kukuajiri katika junior positions)

kwa kweli kama una masters na una uzoefu wa miaka mitatu na kuendelea, kazi ni nyingi sana na hata unaweza kuwa unachagua unayotaka, ili mradi tu uwe mwaminifu, yaani usiwe na kashfa yoyote au rekodi ya utoro, ugomvi, uvivu, ubishi kwa mabosi wako nk.

hata hivyo, Mungu hajawahi kutuacha na siku zote hutuwazia yaliyo mema. anajua hata idadi ya nywele vichwani mwetu. waangalie mashomoro, angalia maua ya kondeni, jinsi Bwana anavyoyarutubisha na kuyatunza! je, sisi si bora zaidi yao? usikate tamaa mpendwa, endelea na juhudi zako za kutafuta kazi na hata kuongeza elimu zaidi ukipata fursa, usikatishwe tamaa na maneno ya watu au maringo ya mabosi huko maofisini.

natumaini umenisoma vyema,

ubarikiwe sana mpendwa na kila la heri

Mungu anakupenda sana, anakupenda upeo!
Organization management?? Hivi ukisoma kozi kama hii ndio unakuwa nani?
Kilimaserena;nchi hii sijui hata imekuweje bado tu naganga njaa mtaani na masters ya ngu ya management miaka ile ilikua mteremko lakini naona dunia ya sasa imebadilika hii sio tanzania ile ya miaka ile jamani nisaidieniiiiiiiiiiiiii
Kilimaserena;
Pole sana. Hata hivyo usikate tamaa. Hujawahi kukutana na mtu ana PhD lakini kazi kakosa, mpaka imefikia inabidi afiche cheti cha PhD ili angalau aonekane ana masters tu na hivyo aongeze chance yake ya kupata ajira kirahisi? Nakushauri ufanye hivi: Tumia cheti cha degree ya kwanza, halafu ukishapata kazi tumia cha pili kutafuta kazi inayolingana na level yako ya elimu, iwapo tu hiyo kazi utakayokuwa umepata mwanzo itakuwa haikuridhishi/haiendani na unavyodhani elimu yako ilivyo!
Mkuu pia jaribu kuapply kazi nje ya Dar. Unaweza ukaenda Arusha au Moshi ukaanzia huko kwanza.
kazi kweli kweli.
ukipata kazi , usichezee kazi, acha kazi uone kazi kupata kazi
Acheni ubishoo nyie vijana,ka mambo hayaelewek huko,njooni 2pge box huku ughaibuni bana.
Organization management?? Hivi ukisoma kozi kama hii ndio unakuwa nani?