Nina kiburi (I am proud) kuwa mTanzania

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,185
56
Asubuhi hii nilifika kazini nikiwa mchovu baada ya kukesha kwenye simu kujua nini kinaendela kule idodomya. Nilikuwa bado na hasira na uchungu baada ya kufikia hitimisho kuwa Tanzania kuna watu baadhi tu wenye uwezo wa kuongoza nchi yetu na hakuna kitu naweza kufanya kwa sasa.

Katika kupitia email toka kwa bosi, email yake ya kwanza ilikuwa ni hii story ya bbc ambayo alisisitiza sana kuwa imemshangaza kuwa kitu kama hiki chaweza kutokea Afrika:

Tanzania's leader sacks cabinet

The former prime minister feels the committee misled parliament
Tanzania's president has dissolved his cabinet in the wake of a corruption scandal that forced the resignation of the prime minister and two ministers.
The three were implicated in an energy deal involving a US-based electricity company which is said to be costing the country more than $100,000 a day.

They deny any wrongdoing but there has been a public outcry about the affair.

The firm was hired in 2006 to provide emergency electricity during a power crisis, but MPs say it failed to do so.

President Jakaya Kikwete is holding consultations about forming a new cabinet, which he hopes will be in place before US President George Bush visits the country next week.

Prosecution calls

Correspondents say pressure has been mounting on the government to crack down on officials linked to corruption.

The storm has been gathering... and people have been very dissatisfied with the performance of some ministers

Political analyst Mwesigye Baregu

A parliamentary committee set up to investigate the energy deal revealed that the government was losing more than $100,000 a day to the company that was awarded the contract.

Political analyst Mwesigye Baregu says the resignations allow the president to reposition his government and restore public confidence in the face of sharp criticism.

"The storm has been gathering in the past two years and people have been very dissatisfied with the performance of some ministers," he told the BBC's Network Africa programme.

Former Prime Minister Edward Lowassa made an emotional speech to parliament when he resigned on Thursday, saying he felt the committee had misled parliament.

Energy and Minerals Minister Nazir Karamagi and Ibrahim Msabaha - a former energy minister and now in the East African Community ministry - resigned hours after him.

The BBC's Vicky Ntetema in Dar es Salaam says Richmond Development was contracted to bring in generators to provide 100 megawatts of electricity each day after a drought early in 2006 left low water levels in dams leading to severe power cuts.

By the time the company was ready to start operations, Tanzania's power problems had been resolved.

Mr Lowassa's office later influenced the government's decision to extend Richmond's contract despite advice to the contrary from the state-run energy company Tanesco, the inquiry alleges.

The parliamentary committee has recommended that those implicated in the scandal be prosecuted but observers say the onus remains with President Kikwete
.

Kwa vile JF ilikuwa down, ikabidi nianzishe mazungumzo ya haraka na bosi wangu kuhusu hii email. Akasisitiza kuwa ameshangazwa sana na hii habari kwa vile yeye aliamini kuwa kitu kama hiki hakiwezi kutokea Afrika. Ifahamike kuwa wiki zaidi ya tano hapa ofisini habari zimekuwa tu kuhusu Kenya na namna Kibaki na wezi wenzake walivyokataa kuachia madaraka.

Imenitia moyo na kunifurahisha baada ya bosi wangu kuwaita baadhi ya wafanyakazi wenzagu (kina Euberstein) na kuwaeleza kuwa waziri mkuu katika nchi ya Afrika amejiuzulu kwa rushwa. Kwa haraka haraka nikamkumbuka Mwanakijiji na visimu vyake vyote alivyokuwa anapiga Tanzania kufuatilia mambo ya nyumbani, na pia nikakumbuka jinsi wana JF (ikiwemo wabunge na wajumbe wa kamati ya Mwakyembe) walivyoshirikiana behind the scene kuhakikisha kuwa Lowasa na wenzake wanaondoka.

Kwa kweli nimefurahia sana kuwa part ya process kubwa hii na imenipa kiburi tena kujiita mtanzania hapa kazini. Watu wengi hapa (ambao wengi wana liberal views za international politiks) walikuwa very proud na Tanzania.

Nina kiburi sana kuwa mTanzania leo. Kwa leo nitamshukuru Lowasa kwa kukubali kutoka the easy way, nitamshukuru Kikwete pia kwa kutokuwa kichwa ngumu na slow kwenye maamuzi, nitawashukuru wote hasa wabunge wa ccm kama Mama Malecela nk ambao pia walisaidia kufanikisha hii vita.

Nina kiburi sana kuwa mtanzania leo. Nchi ambayo mashujaa kama Nyerere, Slaa, na Zitto wanaiita nchi yao. Ninafurahi, ninacheka, na ingawa hili baraza ni bovu sana, lakini nina raha kuwa Mramba amekwenda......

Hongera wote waliofanya kazi kubwa, muda mwingine inabidi tupate kitu cha kufurahia kabla hatujacollapse kwa mishinikizo ya damu na misongo ya mawazo.

Nafurahia na nina kiburi sana kuwa mTanzania.
 
MK I can read your sentiments. Iam sure wengi tuko proud kuwa watanzania. Usione tunashinda hapa JF ni kwa sababu we love our country dearly... and we honestly believve that we have what it takes to build a wonderful nation on this planet. Hawa vilaza wachache ndo wana tu frustrate tuu. Hivi unafikiri kweli kwa solid foundation ya undugu na upendo ambayo mwalimu alijenga, kipi kinashindikana TZ? we can become giants..sema tuu hatujabahatika kupata viongozi wenye vision na waaminifu to have critical masses behind them. Lakini we have to start from somewhere and I believe this is the beggining and we are in a right direction. Lets pull up our pants and rally the masses! Tanzania is a wonderful country where we have enough for everybody, only the Lowassas of this world want to eat everything by themselves! We can become a self sufficent nation, we can stop being the loughing stock of the world, we can feed and educate our compatriots for the better future, only if we get rid of the Lowassa and Karamagis of this world!

Iam eternally Optimistic that Tanzania one day will assume its glorious and rightful place in this world! Iam not dreaming, I believe we can and in the process we can pass on the prosperous nation to the coming generations. Its possible, play your part. I love Tanzania.
 
Kama kweli una kiburi cha kuwa mTanzania mbona umeikimbia na hauishi hapa? si uwongo huo usitudanganye. Njoo uishi hapa uone joto ya jiwe.
 
MwK:
Ni kwa nini uwe na kiburi? Nitakushukuru kama utajivuna, au utajivuniakuwa Mbongo.

Huyo boss siku moja kampe bia kidogo na kumsihi akawekeze miradi; ili wale vijana nao wapate ajira. Hakuna ajuae, pengine nawe utaanza kusogelea orodha ya wale 100!
Usisahau kumfahamisha boss yale madudu mengine ambayo bado tunapigana nayo mieleka - BOT, Mikataba mibovu, n.k.
 
Masanja,

hata mimi ninaamini kabisa kuwa siku inakaribia ambayo ndoto zetu zitatimia. Tumefanikiwa kwa sasa kumtoa Lowasa (na labda kufanikiwa kuzima ndoto yake ya uraisi). Taratibu tu tutafanikiwa kuchukua nchi yetu kutoka mikononi mwa hawa walafi na mafisadi wasio na haya hata kidogo.
 
Good thought MWK

Be proud more and more.

Tanzania ia said to be poor but is the most safe country to live.

Only the lowassas and the likes who want us go back
 
I am sure most of contributors here, are not residing in Tanzania, but their ideas, financial, etc brings changes there, so still she have a right to be a proud as a Tanzanian, no matter were she live. Exposure matter
 
MwK:
Ni kwa nini uwe na kiburi? Nitakushukuru kama utajivuna, au utajivuniakuwa Mbongo.

Huyo boss siku moja kampe bia kidogo na kumsihi akawekeze miradi; ili wale vijana nao wapate ajira. Hakuna ajuae, pengine nawe utaanza kusogelea orodha ya wale 100!
Usisahau kumfahamisha boss yale madudu mengine ambayo bado tunapigana nayo mieleka - BOT, Mikataba mibovu, n.k.

Mkuu Kalamu,

nadhani neno sahihi la kiswahili nililotakiwa kutumia ni hilo la najivunia. Asante kwa masahihisho.
 
Good thought MWK

Be proud more and more.

Tanzania ia said to be poor but is the most safe country to live.

Only the lowassas and the likes who want us go back

Tanzania's poverty is only in our minds. In real terms, Tanzania is a very rich nation.
 
Asubuhi hii nilifika kazini nikiwa mchovu baada ya kukesha kwenye simu kujua nini kinaendela kule idodomya. Nilikuwa bado na hasira na uchungu baada ya kufikia hitimisho kuwa Tanzania kuna watu baadhi tu wenye uwezo wa kuongoza nchi yetu na hakuna kitu naweza kufanya kwa sasa.

Katika kupitia email toka kwa bosi, email yake ya kwanza ilikuwa ni hii story ya bbc ambayo alisisitiza sana kuwa imemshangaza kuwa kitu kama hiki chaweza kutokea Afrika:

Kwa vile JF ilikuwa down, ikabidi nianzishe mazungumzo ya haraka na bosi wangu kuhusu hii email. Akasisitiza kuwa ameshangazwa sana na hii habari kwa vile yeye aliamini kuwa kitu kama hiki hakiwezi kutokea Afrika. Ifahamike kuwa wiki zaidi ya tano hapa ofisini habari zimekuwa tu kuhusu Kenya na namna Kibaki na wezi wenzake walivyokataa kuachia madaraka.

Imenitia moyo na kunifurahisha baada ya bosi wangu kuwaita baadhi ya wafanyakazi wenzagu (kina Euberstein) na kuwaeleza kuwa waziri mkuu katika nchi ya Afrika amejiuzulu kwa rushwa. Kwa haraka haraka nikamkumbuka Mwanakijiji na visimu vyake vyote alivyokuwa anapiga Tanzania kufuatilia mambo ya nyumbani, na pia nikakumbuka jinsi wana JF (ikiwemo wabunge na wajumbe wa kamati ya Mwakyembe) walivyoshirikiana behind the scene kuhakikisha kuwa Lowasa na wenzake wanaondoka.

Kwa kweli nimefurahia sana kuwa part ya process kubwa hii na imenipa kiburi tena kujiita mtanzania hapa kazini. Watu wengi hapa (ambao wengi wana liberal views za international politiks) walikuwa very proud na Tanzania.

Nina kiburi sana kuwa mTanzania leo. Kwa leo nitamshukuru Lowasa kwa kukubali kutoka the easy way, nitamshukuru Kikwete pia kwa kutokuwa kichwa ngumu na slow kwenye maamuzi, nitawashukuru wote hasa wabunge wa ccm kama Mama Malecela nk ambao pia walisaidia kufanikisha hii vita.

Nina kiburi sana kuwa mtanzania leo. Nchi ambayo mashujaa kama Nyerere, Slaa, na Zitto wanaiita nchi yao. Ninafurahi, ninacheka, na ingawa hili baraza ni bovu sana, lakini nina raha kuwa Mramba amekwenda......

Hongera wote waliofanya kazi kubwa, muda mwingine inabidi tupate kitu cha kufurahia kabla hatujacollapse kwa mishinikizo ya damu na misongo ya mawazo.

Nafurahia na nina kiburi sana kuwa mTanzania.

Mwafrika Jike mimi am proud of you .The only young woman ambaye kila kukicha anapambana kwa dhati . Najua watakubeza umekimbia na hata enzi nakaa majuu na huku nasema ujinga ni mwingi hapa home walisema nimekimbia lakini hawakujua kwamba nilienda kupanua wigo wa kuelewa na kujenga hoja na hata kujifunza siasa kutokubaliana lakini bado tunaweza kucheka bila ya kupeana sumu .

Mimi ninakubaliana nawe kabisa.JK umetuangusha lakini bado Zitto na Slaa ama Upinzani mzima kwa msimamo na hoja zenu leo umepelekea JK kuvunja safari zake za nje at least kaahirisha ili akubaline na madai ya kila siku na kuachana na vijigazeti uchwara kama Nipashe na Majira ambao huandika kwa kufuata upepo na si kwa uelewa wao na kusimamia issues .

Ni muda sasa wa kuwapa joto kali na hata wana JF mrudi nyumbani muombe kugombea kupitia Chama chochote ikiwemo CCM nk il kuweza kuleta mapinduzi ya kweli .

Again Hongera MK na JF .Napenda kusema kwamba asilimia 50 ya Lowasa kuondoka mchango umetoka JF kwenye background na si kila kitu kinaonekana kama unavyodhani . Wewe uliye shiriki nakupa Hongera sana nondo zako na mengine uliyo yafanya leo yameleta historia Tanzania .
 
In other words:"kelele za mlango"zilimnyima mwenye nyumba usingizi.
Wakati ni mahsusi wa bati na kenchi vyote kuanza kupiga kelele. Mapambano ndio mwaaanzo yanaanza.
 
I must say....Although we seem to dissagree in some things, I totally agree with you on this! Your story has indeed, lifted my spirits. It's good to know that the small ripples that start at JF, somehow find their way out there in the big old ocean! You go girl!
 
Masanja,

hata mimi ninaamini kabisa kuwa siku inakaribia ambayo ndoto zetu zitatimia. Tumefanikiwa kwa sasa kumtoa Lowasa (na labda kufanikiwa kuzima ndoto yake ya uraisi). Taratibu tu tutafanikiwa kuchukua nchi yetu kutoka mikononi mwa hawa walafi na mafisadi wasio na haya hata kidogo.

Ndoto gani uliyonayo wewe? unapayuka wakati haupo front line. Hivi unauhakika kuwa ulichangia katika kumtowa Lowassa? pole sana kwa uvivu wa kufikiri. Kuzima ndoto ya uraisi? what a nonsense hata history ya juzi inakupiga chenga? Mwinyi ndie aliyekuwa waziri wa kwanza kujiuzulu kwa kashfa katika wizara yake and he ended being the President baada ya "haambiliki" kung'atuka, au umesahau hilo?

Utafanikiwa kuchukuwa "nchi yetu" uipeleke wapi? huko ulipo? kama ni merekani kweli naona utafanikiwa kabla ya muda si mrefu, kwani bushi ndio huuyo anakuja, makampuni yake ndio hayo yanakomba dhahabu, yanafisadi (Richmond), na sasa anakuja kuwahi kukomba mafuta, kweli mtafanikiwa kuichukuwa kama bado hamjafanikiwa.

Wewe kaa huko na usjidai unauchungu sana na Tanzania, wenye uchungu tunawaona na tunawajuwa. ooopsss kweli, huna uchungu una kiburi!
 
I must say....Although we seem to dissagree in some things, I totally agree with you on this! Your story has indeed, lifted my spirits. It's good to know that the small ripples that start at JF, somehow find their way out there in the big old ocean! You go girl!

Thanks Yunic!

I usually do not take things personal here at JF! I am glad that I gat your spirit lifted up! Keep it up yourself. It is all out of love for our country and nothing else!
 
Mwafrika Jike mimi am proud of you .The only young woman ambaye kila kukicha anapambana kwa dhati . Najua watakubeza umekimbia na hata enzi nakaa majuu na huku nasema ujinga ni mwingi hapa home walisema nimekimbia lakini hawakujua kwamba nilienda kupanua wigo wa kuelewa na kujenga hoja na hata kujifunza siasa kutokubaliana lakini bado tunaweza kucheka bila ya kupeana sumu .

Mimi ninakubaliana nawe kabisa.JK umetuangusha lakini bado Zitto na Slaa ama Upinzani mzima kwa msimamo na hoja zenu leo umepelekea JK kuvunja safari zake za nje at least kaahirisha ili akubaline na madai ya kila siku na kuachana na vijigazeti uchwara kama Nipashe na Majira ambao huandika kwa kufuata upepo na si kwa uelewa wao na kusimamia issues .

Ni muda sasa wa kuwapa joto kali na hata wana JF mrudi nyumbani muombe kugombea kupitia Chama chochote ikiwemo CCM nk il kuweza kuleta mapinduzi ya kweli .

Again Hongera MK na JF .Napenda kusema kwamba asilimia 50 ya Lowasa kuondoka mchango umetoka JF kwenye background na si kila kitu kinaonekana kama unavyodhani . Wewe uliye shiriki nakupa Hongera sana nondo zako na mengine uliyo yafanya leo yameleta historia Tanzania .

Lunyungu,

Asante kwa maneno mazuri. Unadhani mimi najali sana wabezaji na kelele zao za kulilia maziwa. Hapa ni kazi tu na ndio mwanzo half ya pili imeanza.

Ngoja waosha vinywa waendelee na zao lakini hapa ni mpaka asubuhi ifike na kila kitu kimeeleweka.
 
Ndoto gani uliyonayo wewe? unapayuka wakati haupo front line. Hivi unauhakika kuwa ulichangia katika kumtowa Lowassa? pole sana kwa uvivu wa kufikiri. Kuzima ndoto ya uraisi? what a nonsense hata history ya juzi inakupiga chenga? Mwinyi ndie aliyekuwa waziri wa kwanza kujiuzulu kwa kashfa katika wizara yake and he ended being the President baada ya "haambiliki" kung'atuka, au umesahau hilo?

Utafanikiwa kuchukuwa "nchi yetu" uipeleke wapi? huko ulipo? kama ni merekani kweli naona utafanikiwa kabla ya muda si mrefu, kwani bushi ndio huuyo anakuja, makampuni yake ndio hayo yanakomba dhahabu, yanafisadi (Richmond), na sasa anakuja kuwahi kukomba mafuta, kweli mtafanikiwa kuichukuwa kama bado hamjafanikiwa.

Wewe kaa huko na usjidai unauchungu sana na Tanzania, wenye uchungu tunawaona na tunawajuwa. ooopsss kweli, huna uchungu una kiburi!

Dear Zomba .Una beef gani na huyu mtoto wa kike ? Why your personals to the public domain ? Can't you pass her posts withut reading and writing? You can do better that what you are now doing mkulu.
 
How about you?
 
Kwi kwi kwi...

Analilia maziwa na amekosa sasa anaexplode tu!
Mimi sasa hivi na pop corn yangu kubwa ninashuhudia explosion!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom