Nina Jipu kwenye paja

Ballot

Member
Jan 4, 2012
39
12
naombeni msaada nina jipu kubwa kwenye paja langu la kulia'kwa kweli juzi usiku sikulala homa kali na joto kali la mwili'nimeenda kumwona doktari akanipa antbiotic na asprin na sasa hivi
Naendelea vizuri''naombeni mwenye kujua nini kinasababisha majipu anisaidie'nahisi labda kwa vile nimeacha pombe mwezi mmoja sasa??sielewi kinachosababisha majipu'naombeni msaada
 
Kwa nini huku muuliza huyu Dr alie kupa Asprin.Leo hatutaki kuumiza vichwa vyetu tuko busy ubwabwa.
 
Jipu(kwa lugha ya kitaalamu ABSCESS) ni mkusanyiko wa usaha ambao unaweza kutokea sehemu yeyote ya mwili.Hali hiyo mara nyingi huwa inasababishwa na maambukizo ya vijidudu aina ya bacteria ambavyo huingia sehemu ya mwili na kupambana na chembe za mwili(body cells) ambazo baadhi hufa nakutengeneza usaha(pus).Dalili zake ni pamoja na homa,sehemu lilipo jipu huwa imevimba,inauma na nyekundu.Matibabu yake huwa ni kupasua na kuto huo usaha(incision & drainage),antibiotics kuua hao wadudu wasababishao pamoja na dawa ya kutuliza maumivu.So ushauri wangu inabidi ukamuone tena Dr akufanyie kilichobaki(incision & drainage)
 
Magata nashukuru sana kwa maelezo yako ya kitaalam'ni kweli nilipata homa kali na sikulala kabisa'''asante mkuu kwa sababu nilijaribu ku-search kwenye google kinachosababisha sikupata jibu'thank you
 
wakuu acheni utani'mbona nimepima ni negative??
Acha uoga mwaya,majipu yalikuwepo hata kabla ya ngoma kuja.Babu yangu alikuwa anachukua majani ya kunde kuyatwanga na kubandika kwenye jipu linapasuka lenyewe.pole sana
 
Acha uoga mwaya,majipu yalikuwepo hata kabla ya ngoma kuja.Babu yangu alikuwa anachukua majani ya kunde kuyatwanga na kubandika kwenye jipu linapasuka lenyewe.pole sana

Fe lady tunakuheshimu hapa jamvini'fikiri kabla hujamwaga wino'ni wazo tu!
 
Ni bacteria aina ya Staphylococcus ambao huweza kuwa puani (kamasini) haswa na wawapo pengine huweza kushambulia kinyweleo na kufanya jipu. It was how I can remember from my readings. In general ni uchafu. Oga na nawa vizuri kwa antiseptic kama dettol
 
Kwa nini huku muuliza huyu Dr alie kupa Asprin.Leo hatutaki kuumiza vichwa vyetu tuko busy ubwabwa.

ndio mnachokiweza huo ubwabwa utakutokea puani,baada mtatuwa matatizo ya madokta mnakula ubwabwa 0 brain
 
mmeambiwa mtowe ushauri na sikuandika utumbo mkipewa nchi nyinyi mtatuuza huku tunawaona mnakuwa kama magamba ya kijani
 
Back
Top Bottom