nina imani yesu akitua moja kwa moja mbeya,hebu cheki list hili...

Mkazuzu

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
449
554
1.ambilikile mwasapile
2.mwakasege
3.lusekelo
4.gwajima
......na wengine wengi,sasa huku dar tunasubiri nini?labda best loser ndo tutatoka!
 
Ha ha haaa nani kakuambia penye miti pana wajenzi? na miti mingine haifai kwa ujenzi
 
Back
Top Bottom