Nina Imani na CHDEMA

Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Oct 8, 2007
2,731
749
Kuna watu walidhani kuwa baada ya uchaguzi mkuu 2010, nguvu ya chadema ingeisha na hivyo kuwa chama cha msimu lakini, imekuwa kinyume chake na sasa kinawanyima usingizi CCM na wamekiri hilo wazi! Hivyo imani ya kwa chadema imeongezeka kwa asilimia 200%.
 
Hata kufa nipo tayari sina cha kupoteza zaidi ya nafsi yangu inayopenda mabadiliko
 
TZ2015 M4C isome numba hiyo gari popote nchi hii zinapita ukiiona simamisha ingia chapa mwendo nayo!!achana gari la mabwepande ccm.choo cha makuti
 
Back
Top Bottom