Nina hisia kali na mwanamke mwenzangu

Babuyao;[URL="javascript:void(0)" said:
937497[/URL]]Hapo huna jinsi, umenasa kwa kweli. Ila ukiamua unaweza kuzigeuza hizo hisia badala ya kukuelekeza kwenye mambo ya mapenzi ya ngono zikakuelekeza kwenye urafiki mzuri wa watu wawili.

Hili la kuzigeuza hisia za kingono na kuzielekeza kwengine 'sex transmutation' ndio lililoniwezesha kumaliza chuo vizuri lakini sasa nimeshafika napotaka maishani sina pa kuelekeza hizi hisia za ziada.

Ambao hawajui kuhusu 'sex transmutation' wanaweza kui-google ilinisaidia kiasi flani chuoni na mwanzo wa maisha kazini.
span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }
 
WomanOfSubstance;[URL="javascript:void(0)" said:
937525[/URL]]Dii Dii,
Kwenye hiyo kufikirika..ina maana ushaamua kuwa thats what you want? Ushauri unaoutaka hapa ni upi is it namna ya kufikia ukweli wa hiyo kufikirika yako? Maana kama ushaamua kufanya kweli, ushauri wa kukukataza hautakusaidia at this stage.
Sijaamua chochote bado,nilikua najibu swali la Mbu kwa uwezekano wa kumuhusisha mume wangu ukitokea uhusiano na huyu binti.
span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }
 
Dii Dii,
Kwenye hiyo kufikirika..ina maana ushaamua kuwa thats what you want? Ushauri unaoutaka hapa ni upi is it namna ya kufikia ukweli wa hiyo kufikirika yako? Maana kama ushaamua kufanya kweli, ushauri wa kukukataza hautakusaidia at this stage.

Ila ujue..binadamu anayo sehemu fulani katika maisha au akili yake ambayo hamna mtu mwingine aijuae isipokuwa mwenyewe. Kuna wanaokuuliza kama ulishafanya mapenzi na mwanamke mwenzio na umejibu hapana. Sasa hizi hisia zinazokupata ukiwa tayari mke wa mtu mamii zinakuja vipi na kwa kasi hiyo hadi unataka ushauri?

Kama walivyosema wachangiaje wengine hapo juu, binadamu katika maisha huwezajikuta aki fantasize mambo mengi -mema na mabaya.Mfano mtu kujaribu kufantasize anaiba Bank! Ina maana wazo hili litamsumbua kiasi hicho hadi aje humu kuomba ushauri akaibe au lah?

Mwisho nakushauri hivi - kama ni fantasy tu jiambie "wake up woman!"uamke kwenye hiyo hali usonge mbele.

Kama siyo fantasy bali ni kitu ulishakiwaza ukadhamiria kukitenda basi hapa hakuna ushauri labda maombi tu.

I hope sijakukwaza ndugu yangu.

Jirani,

Haya mambo mengine ni kujiendekeza tu. Binadamu tumepewa uwezo mkubwa na Muumba kuyashinda matamanio yetu mbali mbali ya kimwili hasa yale ambayo hayaendeani na maadili ya utamaduni wetu wa Kitanzania. Sijui inakuwaje mtu ambaye hujafanya mapenzi na mtu wa jinsia kama yako ghafla tu umtamani mtu na kuwa tayari kufikiria kuacha hata kazi ili uwe naye na wakati huo huo hujamwambia muhusika kuhusu nia yako ya kumtaka kimapenzi.

Kama ulivyosema huyu tayari ameshaweka nia ya kumfukuzia huyu mdada na ndiyo maana ameshafikria hata kuacha kazi ili awe na huyu dada kimapenzi na sijui mtu ambaye hujawahi kufanya mapenzi na mtu wa jinsia kama yako hisia hizi nzito zinatoka wapi ghafla tu bin vu, labda ndiyo Ulimwengu tulionao sasa.
 
Bubu Ataka Kusema;[URL="javascript:void(0)" said:
937552[/URL]]Jirani,

BAK labda hujasoma maelezo yangu vizuri nafikiria kuhama kazi kama njia moja ya kutatua tatizo na kuwa mbali na binti huyu.Halafu hisia hizi nimekua nazo kwa muda mrefu,zimezidi tu sasa hivi.
span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }
 
BAK labda hujasoma maelezo yangu vizuri nafikiria kuhama kazi kama njia moja ya kutatua tatizo na kuwa mbali na binti huyu.
span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }

Utahama kazi mara ngapi ili kuwakimbia mabinti wazuri?~**~Msichana ni mrembo kweli, mrefu, mwembamba na ana lips za kufa mtu~**~ Hivi kweli umeshindwa kabisa kuyashinda matamanio yako ya kuwa na huyu binti kimapenzi mpaka uamue kuacha kazi? Je, haya matamanio ya kumtamani mwanamke mwenzio unayatoa wapi kama maishani mwako hujawahi kumgusa mwanamke mwenzio kimapenzi? Au ndiyo unataka kuingia anga hizo rasmi ili uone kuna nini cha zaidi?
 
Bubu Ataka Kusema;[URL="javascript:void(0)" said:
937569[/URL]]Utahama kazi mara ngapi ili kuwakimbia mabinti wazuri?~**~[COLOR=#[URL="javascript:void(0)"]000000[/URL]]Msichana ni mrembo kweli, mrefu, mwembamba na ana lips za kufa mtu~**~ Hivi kweli umeshindwa kabisa kuyashinda matamanio yako ya kuwa na huyu binti kimapenzi mpaka uamue kuacha kazi? Je, haya matamanio ya kumtamani mwanamke mwenzio unayatoa wapi kama maishani mwako hujawahi kumgusa mwanamke mwenzio kimapenzi? Au ndiyo unataka kuingia anga hizo rasmi ili uone kuna nini cha zaidi?[/COLOR]
Rejea maelezo yangu ya awali,hisia hizi zilianza muda mrefu lakini naona zinazidi kwa sasa.
span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }
 
Rejea maelezo yangu ya awali,hisia hizi zilianza muda mrefu lakini naona zinazidi kwa sasa.
span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }

Kama zilianza muda mrefu ulipokuwa sekondari na ukafanikiwa kuzishinda bila ya kuhama sekondari uliyokuwa unasoma, je kwa nini usizishinde hisia hizo tena bila ya kuacha kazi na kuhamia kwingine? Je, ulipokuwa sekondari ni lipi ulilolifanya hadi kufanikiwa kuzishinda hisia zako? Kama kuna lolote ulilofanya je, sasa hivi huwezi kulifanya tena ili uzishinde tena hisia hizo kali?
 
Mhh..makubwa haya.

Nimesoma kidogo comments za watu , mama Dabo Difu, ushauri ninaoweza kukupa ni kutafuta ushauri wa kitaalamu kama unaona itafaa, sijui hasa kama ni psychologists au mwengine, huenda labda itakusaidia. Hii inategemea kama unaona unahitaji msaada au la.
 
Bubu Ataka Kusema;[URL="javascript:void(0)" said:
937576[/URL]]Kama zilianza muda mrefu ulipokuwa sekondari na ukafanikiwa kuzishinda bila ya kuhama sekondari uliyokuwa unasoma, je kwa nini usizishinde hisia hizo tena bila ya kuacha kazi na kuhamia kwingine? Je, ulipokuwa sekondari ni lipi ulilolifanya hadi kufanikiwa kuzishinda hisia zako? Kama kuna lolote ulilofanya je, sasa hivi huwezi kulifanya tena ili uzishinde tena hisia hizo kali?
BAK naona umeanzia kusoma katikati nilisema hapo nyuma kuwa nilipokuwa chuo na mwanzo kazini nilitumia 'sex transmutation' kuhamisha mawazo yangu ya ngono kwenda masomoni lakini kwakuwa sasa nimeshafika napotaka hamna pa kuhamishia hizi hisia kunisahaulisha.
span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }
 
Abdulhalim;[URL="javascript:void(0)" said:
937578[/URL]]Mhh..makubwa haya.

Nimesoma kidogo comments za watu , mama Dabo Difu, ushauri ninaoweza kukupa ni kutafuta ushauri wa kitaalamu kama unaona itafaa, sijui hasa kama ni psychologists au mwengine, huenda labda itakusaidia. Hii inategemea kama unaona unahitaji msaada au la.
Nimefanya appointment na psychiatrist wiki ijayo nitawaambia kama amenisaidia.
span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }
 
Nimefanya appointment na psychiatrist wiki ijayo nitawaambia kama amenisaidia.
span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }

Halafu mbona posts zako zinakuja na characters za ajabu?

Nway, mara nyingi wataalam kama hawa wanasaikolojia wanakusaidia tu kuamsha nguvu zako ktk kulitatua tatizo. Lazima uwe na mentality hiyo. Sio kwamba atafanya kama miujiza ya kuondoa pepo.kwa dakika 1..hapana. Uponyaji wa kiakili is very painful and it takes time to heal.

Goodluck.
 
Jiambie mwenyewe kwa dhati 'roho chafu ya tamaa mbaya na ishindwe kwa kuwa naamini imeshindwa'
 
Abdulhalim;[URL="javascript:void(0)" said:
937585[/URL]]Halafu mbona posts zako zinakuja na characters za ajabu?

Nway, mara nyingi wataalam kama hawa wanasaikolojia wanakusaidia tu kuamsha nguvu zako ktk kulitatua tatizo. Lazima uwe na mentality hiyo. Sio kwamba atafanya kama miujiza ya kuondoa pepo.kwa dakika 1..hapana. Uponyaji wa kiakili is very painful and it takes time to heal.

Goodluck.
Hata mi nashangaa hizo characters zinatoka wapi natumia UhuruOne hotspot/wifi.
span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }
 
Pakawa;[URL="javascript:void(0)" said:
937590[/URL]]Jiambie mwenyewe kwa dhati 'roho chafu ya tamaa mbaya na ishindwe kwa kuwa naamini imeshindwa'
Shosti mpaka nimeleta hapa ujue maji ku shingo.
span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }
 
BAK naona umeanzia kusoma katikati nilisema hapo nyuma kuwa nilipokuwa chuo na mwanzo kazini nilitumia 'sex transmutation' kuhamisha mawazo yangu ya ngono kwenda masomoni lakini kwakuwa sasa nimeshafika napotaka hamna pa kuhamishia hizi hisia kunisahaulisha.
span.jajahWrapper { font-size:1em; color:#B11196; text-decoration:underline; } a.jajahLink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahInLink:hover { background-color:#B11196; }

Nimerudia tena kusoma ujumbe wako sioni hapo ulipoandika kwamba ulitumia "sex transmutation" kuhamisha matamanio yako...labda nahitaji miwani ya mbao.

Some things are more than difficult to understand!! Is it posible for a woman to have sex affections to another woman?Mi naona hizi ni hisia za kutengeneza!!

Dada labda mimi ni mdogo kidogo katika haya mambo. How did this katabia started? Did you find yourself in that situation just after your adolescence? May be you might be having some male hormones my dear.

But pole sana.
 
1.Mama yako mzazi ndie anakujua wewe na mambo ya kwenu kuliko mtu mwingine,Mweleze atakusaidia
2.Kama huna mama mwone,bibi mzaa mama au mama mkubwa au mdogo AU SHANGAZI.
3.Hawa mama zako chagua unaedhani anakupenda,na mpe masharti asije akakutangaza.
4.Ulipokuwa shule ulipenda na kutamani mambo ya kisagaji japo hukushiriki,sina shaka sasa baada ya kujua kwenye ndoa kuna nini akili yako inakutuma ugeukie upande mwingine.
5.Sina shaka pia kuwa rafiki zako shuleni walikuwa ni wasagaji wazuri tu.japo hawakufanikiwa kukushawishi usagwe.
NASEMA HIVI: Hivyo vitendo ni vibaya na havifai ni ushetani mtupu wakati unawasiliana na wazazi sali sana.USIMWACHE MUMEO,huyo umpendae anaweza olewa hivi punde usidanganyike na story zake ni kwa vile hajapata..........wewe vipi????wenzako wanatafuta wakuwaoa wewe humtaki mume kisa UKASAGWE,UNATATIZO.
 
Dabo diff...jina lako linamaanisha nini?
Au una vidude dabo?
nlipokuwa sekondari na baadae chuo nilihisi kuwa na hisia za kimapenzi na wanawake wenzangu lakini niliweza kuzishinda na kuendelea na maisha yangu.mwezi mmoja ulopita kuna dada kaajiriwa ofisini kwetu na toka nimuone kwa mara ya kwanza nimekuwa na hisia kali juu yake.dada huyu anatabia ya kutukumbatia kina dada wenzake anapotusalimia asubuhi sasa huu umekuwa mtihani mkubwa kwangu napenda tukumbatiane kwa muda mrefu na labda tungekuwa peke yetu ningetamani kumbusu mdomoni na hata kumpapasa. Namuwaza huyu dada muda wote hata kumuota usiku.ndoa yangu ina miezi sita tu nampenda mume wangu lakini nashindwa kudhibiti hisia hizi kwa dada huyu.dada mwenyewe ana msimamo kaisha watolea nje vijana wawili ofisini hapa kuwa hataki mpenzi kwa sasa anataka kuweka akili zake zote kazini.msichana ni mrembo kweli,mrefu,mwembamba na ana lips za kufa mtu.nafikiria kuacha kazi na kuhamia ofisi nyingine kuna kampuni waliniambia muda wowote naotaka watanichukua.nishaurini wanajamvi wenzangu yamenikuta.
Span.jajahwrapper { font-size:1em; color:#b11196; text-decoration:underline; } a.jajahlink { color:#000000; text-decoration:none; } span.jajahinlink:hover { background-color:#b11196; }
 
...sema nae.

Msimamo wake waweza kubadilisha hisia zako kwake.
Lakini je? iwapo atakubaliana na ushawishi wako, upo tayari kushare habari hii na mumeo?

Je, utachukuliaje mumeo akikwambia naye alikuwa na hamu sana ya threesome, nyote watatu
siku moja mjumuike kwenye huo mchiriku?

Mbu sidhani kama huo ushauri wa kusema nae ni mzuri ..anaweza kusema nae na dada akakubali unajua hii sekta imeingilia kwa sana ...utakuwa ni uharibifu mbeleni
 
Back
Top Bottom