Nina hamu .......

BlackBerry

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
1,839
956
Baridi na mvua ndo kabisaaaaa inazidi, yaani hata kazi haziendi, hamu yanizidia
kila nikijisahaulisha yaani wapi, mwenzenu nina hamu ya kulala....... hahahaha
we ulidhani ni nini?
 
Kwani wewe unanidhania mimi nadhani nini ?
 
Mbona niko jirani na wewe Blackberry halafu husemi ya nini kuleta huku wakati nipo hapa, mhh?
 
Baridi na mvua ndo kabisaaaaa inazidi, yaani hata kazi haziendi, hamu yanizidia
kila nikijisahaulisha yaani wapi, mwenzenu nina hamu ya kulala....... hahahaha
we ulidhani ni nini?
Mamito mzima ww?
Siku nyingi aisee!
Pole kwa hamu mie nilikua nayo ila ndio ishamalizwa lol!!
 
mwenyewe nimekuona hata huelewi

BB kwa hujastukia na ma-look ninayokupa, unajua nimegundua toka asubuhi hii hali yako!
Sasa tusepe kama tunaenda luch, mambo yakawive...

You will never regret maana utabata bukoooba...
 
Baridi na mvua ndo kabisaaaaa inazidi, yaani hata kazi haziendi, hamu yanizidia
kila nikijisahaulisha yaani wapi, mwenzenu nina hamu ya kulala....... hahahaha
we ulidhani ni nini?

Dah! umeshaniambukiza lihamu lako hapa,,
bora nisingefungua hii sredi :(
 
Back
Top Bottom