Nina hamu ya kufumaniwa

Nafikiri utakuwa unaumwa. Nenda pale Muhimbili kuna kitengo kinaitwa Psychiatry watatatua tatizo lako. Kila la kheri.
Aaaaaaah mkuu, ina maana ukiwa na hamu ya kitu ndiyo unakuwa referred psychiatric ward mazee? Mbona kawaida tu, nitafutie kichencheda kimoja chenye ujasiri. Akija mke wangu kimdunde aondoke ili nikambembeleze!
 
Mkuu umefikiria outcome moja ya kuwa mkeo atadundwa halafu utaenda kumbembeleza. Umeshafikiria kuwa pengine hujamjua mkeo vizuri, anakufumania halafu anaua hicho kinchecheda chako. Moja kwa moja keko. Utambembeleza nani?
Nyingine ni mkeo anachukia sana baada ya kukufumania na anakula sumu ya panya na huyooo safari. Wewe utambembeleza nani?
Niwie radhi kwa kufikiria mambo mabaya mabaya, lakini yumkini ya kutokea ipo.
 
Hilo nalo neno, lakini hayanihusu am just trying to follow my instincts tonight!!!!
 
Wandugu, leo yani nina hamu kweli ya kufumaniwa na mke wangu! Yani sijui kwa nini natamani anifumanie katandani.

Hebu mwenye uzoefu wa fumanizi ajitokeze tujipange kwenda guest ya karibu na home ili majirani watuone ili anifumanie.

NB: Nia na madhumuni sio baada ya
Kufumaniwa uanze kuniganda.
Nataka anifumanie halafu nia-
Nze kumbembeleza tu!

Hivi wewe huko kichwani pako sawa kweli? Mie nahisi ubongo wako umeshaanza kucheza maana hayo mawazo yako sio ya kawaida aisee.
 
Hivi wewe huko kichwani pako sawa kweli? Mie nahisi ubongo wako umeshaanza kucheza maana hayo mawazo yako sio ya kawaida aisee.

Tatizo you are so young to understand but when you get old as the days goes, utakuwa MASTER kamili full kutokimbia songombingo! Nitupie namba basi hata ya barmaid! Poa tu!
 
Tatizo you are so young to understand but when you get old as the days goes, utakuwa MASTER kamili full kutokimbia songombingo! Nitupie namba basi hata ya barmaid! Poa tu!

Ha ha haaaaa!!! Mpigie huyu 07104442312
 
Hiyo no nimeipiga ocd Manyara! Kapokea , unataka kumtia mkengeni ?
Aisey .

Ha ha ha ha! Umeona Judgement? Mie mwenyewe niliistukia wasije wakanimwangosi bure! Au akanipa mwanae then anipe suprise ya fumanizi.
 
Ushafumaniwa? Au mmbado? If yes,ilikuwaje?

We unadhani kwa nini toka jana sijaonekana humu? Ngoja nibembeleze mama maana kahama chumba analala chumba cha wageni ila unyumba ameshanipa pamoja ni kwa shingo upande ila anausikilizia utamu wake. Hawezi kuukimbia kirahisi hivyo ila na kale katoto alikotukuta nae ni kafundi kaka! Kwa kweli lazima nikazawadie safari ya wiki nzima akae Nungwi nikale mema ya binadamu!
 
Back
Top Bottom