Nina hamu kubwa na Bann.

Kwa yeyote anayejiamini naomba aanzishe ligi ya matusi ya matusi na mimi hapa, tuone bann linakujaje.

kama una hamu na ban wala usihangaike wewe nenda kamtuka invisible au The punishment of God "X-Paster" na utaona mziki wake.
 
He he, mie niko poa, hofu na mshaka ilikuwa kakwo.

Nilijaribi kumvalisha village girl kitop na kimini na kwa kwa kwa
Nimegundia siwezi, a village girl will always be a village girl.

Hi Kongosho, naipenda Avatar hii yako original.lol
How have you been?
 
kula bann mwana, tena wewe ukipewa bann iwe ni moja kwa moja tusikuone tena, 'mnyama wa taifa' wewe
 
He he, mie niko poa, hofu na mshaka ilikuwa kakwo.

Nilijaribi kumvalisha village girl kitop na kimini na kwa kwa kwa
Nimegundia siwezi, a village girl will always be a village girl.
Lol!Funny as always! BTW nuttin to do with a village girl with or without kimini lol

It just makes you artistical since your avatar is an art.

Kusema ukweli sijawahi kuichukulia hiyo avatar yako kama a village girl, inanikumbushia kitabu chenye stories za village life or something like that, kitabu amabacho kinaeonekana ni cha kuelimisha na kuburudhisha, that is how i perceive your avatar.

Ama picha yenye ku depict maisha ya vijijini, its a nice art, i like fine arts.
 
Kweli humu JF kuna ma SADISTS na MASOCHISTS. Hivi kweli unaomba BAN ili uwe maarufu tu? Bora nisiwe maarufu lakini nibakie na utu wangu. Nakutakia kila la kheri.
 
Kwa yeyote anayejiamini naomba aanzishe ligi ya matusi ya matusi na mimi hapa, tuone bann linakujaje.
sina shaka kuwa unafahamu matokeoya ban ni yapi.
Hivyo ningshauri tu, kuwa ni heri uamue kwa ridhaa kupumzika kuliko kulazimisha kusimamiwa au kuongozwa.

Inadhoofisha uwezo wako wa kujisimamia kimaamuzi.
 
Kweli humu JF kuna ma SADISTS na MASOCHISTS. Hivi kweli unaomba BAN ili uwe maarufu tu? Bora nisiwe maarufu lakini nibakie na utu wangu. Nakutakia kila la kheri.

Unajua maana ya sadist na masochist? Au unaongeza idadi ya posts 2? Embu tudadavulie hapa wengine wa kayumba huku, inaelekea mwenzetu 'emmy'
 
Kwa yeyote anayejiamini naomba aanzishe ligi ya matusi ya matusi na mimi hapa, tuone bann linakujaje.

kweli unafikiria pumba badala ya elimu ikukomboe wewe ndo unaikomboa nadhani naweza kusema kuwa labda wazazi walikosea kukupeleka shule
 
Back
Top Bottom