Nina furaha sana

La kuchumpa

Member
Mar 10, 2012
69
8
Naenda kumuona mke wangu baada ya miezi mitano kuwa mbali na yeye kitu ambacho sio kawaida yetu... sasa ni mwendo wa kutembea uchi tu ndani
 
ningekuwa mimi ningepima kwanza,miezi mitano ni mingi...una uhakika gani alikuwa faithful kama ulivyokuwa wewe.....?mmmnh
 
I mean ni kawaida ya wapenzi wa kiwa mbali for long time, sasa soni cha zaidi katika hii thread. I hope mwenziwako kapania kama unilivyopania.

ahaaaa! Nimekuelewa anaonyesha kapania lakini ntaenda kujua hukohuko
 
Back
Top Bottom