Nina chuki na wanaopendana

Mtu na mwenzi wake wakiwa wanapendana mi nachukia kwelikweli, wakiwa kwenye migogoro naona rahaaaa mustarehe.
Sijui ntakuwa nasumbuliwa na ugonjwa gani?

Simple...just get a life and you won't have time to be in other people's lives! Be busy and stay busy.
 
Mtu na mwenzi wake wakiwa wanapendana mi nachukia kwelikweli, wakiwa kwenye migogoro naona rahaaaa mustarehe.
Sijui ntakuwa nasumbuliwa na ugonjwa gani?

Nadhani kuna mtu kakuzidi kete na sasa roho inauuma also inaelekea wewe ni mtu wa kupigwa vibuti kwa saaaaaaaaaaana!
 
Mtu na mwenzi wake wakiwa wanapendana mi nachukia kwelikweli, wakiwa kwenye migogoro naona rahaaaa mustarehe.
Sijui ntakuwa nasumbuliwa na ugonjwa gani?

Ndugu, Yani muda wako wote unatafuta kuona ni nyumba gani ina migogoro baina ya mtu na mwenzi wake...Mhh hii kiboko.

Lakini kama wewe ni HE, inawezekana kuna vi-element vya ushoga vinaanza kudevelop ndani ya brain yako...wahi kwa psychologist mapema kabla hali haijawa mbaya!!!
 
Mtu na mwenzi wake wakiwa wanapendana mi nachukia kwelikweli, wakiwa kwenye migogoro naona rahaaaa mustarehe.
Sijui ntakuwa nasumbuliwa na ugonjwa gani?

These are the type of people who enjoy kuchonganishana! ungetumia muda huo (wakufwatilia ili ujue kama people wanapendana ao wako kwa migogoro) kwa kazi za maana si TZ ingesonga mbele? Anyway, just forget abt people, focus on other things like... urself.
 
Loh! Una roho mbaya mfano hakuna. Yatakukuta hayo hayo kwa vile ndiyo yanayokuburudisha, hutakuwa na wa kukupenda coz akikupenda unamtafutia zengwe ili ufurahi. Mwe! Shetwani ama nini jamani?!
 
Umetupiwa jini kisirani.
Ukibariki wengine na wewe utabarikiwa, ukilaani wengine na wewe utalaanika.
Wapendeni adui zenu nanyi mtapata thawabu
 
Umetupiwa jini kisirani.
Ukibariki wengine na wewe utabarikiwa, ukilaani wengine na wewe utalaanika.
Wapendeni adui zenu nanyi mtapata thawabu
 
Back
Top Bottom