Nina certificate naweza kuomba kusoma masters!

Naona anaota ndoto za mchana,elimu haihitaji haraka kiasi hicho,ni lazima apitie diploma kisha degree,anaweza kuunga degree kwa baadhi ya vyuo kwa kupitia mature age entry,ila kwa masters hiyo ni level nyingine kabisa,wala asipoteze application fee yake
Nashukuru kwa ushauri mkuu, niafaufanyia kazi mara moja
 
JF haishi vituko, yaani na wewe uliyeta uzi nadhani kabisa huna hata certificate maana ungejua huyo mdogo wako hata kwa miujiza hawezi kupata admission ya masters.

Mkuu mambo mengine hata hayaitaji kuuliza yapo wazi kabisa, kikawaida mtu ambaye anasoma certificate kama kafika form six ina maana hana pass nzuri na kama ni form four ina maana hata C tatu mtihani.


Kutoka hapo alipo apae hadi masters!!!!

Ni kweli mkuu hata certificate ndio maana naomba ushauri mkuu, nimeona naweza kumshauri ndivyo sivyo ikawa shida mbeleni lakini kwa jamii najua hakuna linaloshindikana, jamii ni kila kitu
 
mmmh my dear kiukweli hicho kitu hakipo awe mpole kama antaka soma kwelikweli aende diploma kwanza au kama amefanya vizur kwa chet bas aombe degree hebu ajaribu st. Augustine kuomba degree na vyuo vingne halaf aone bt asisahau diploma coz ndo uhakia upo saana
 
mmmh my dear kiukweli hicho kitu hakipo awe mpole kama antaka soma kwelikweli aende diploma kwanza au kama amefanya vizur kwa chet bas aombe degree hebu ajaribu st. Augustine kuomba degree na vyuo vingne halaf aone bt asisahau diploma coz ndo uhakia upo saana
Dear nashukuru kwa ushauri mzuri, tutaufanyia kazi ili asichelewe kuomba kwa level ya diploma. Ubarikiwe dear
 
Dah sijawahi kuona! Kwanza akienda tu atatoroka mwenye bila hata kuaga,mkuu,HAIWEZEKANI!! Umenikumbusha mgosi wa kaya 1 degree to Phds.
 
Wakuu nina mdogo wangu alisoma certificate hapa CBE akapata ajira sasa ni mwaka WA sita ofisi imeamua kumpa ufadhili WA kusoma kwa mwaka wa masomo 2012/2013 Yeye amechukua fomu za masters na tayari amejaza anataka kurejesha. Je anaweza kuchaguliwa asome masters. Kama haiwezekani aombe nn?
Nini Masters bana Kampala univesty dar watakupokea usome phd kwa mwaka miwili tu!
 
Back
Top Bottom