nina bachelor ya wanyama nataehta kazi

msikivuTz

Member
Apr 17, 2011
68
407
hi jf, jamani mm nina bachelor ya wanyama (livestock), je kuna m2 anaweza kunisaidia sehemu nitakayopata ajira iwe private organisation popote nndani na nje ya nchi
 
mkuu kama una bachelor ya livestock s ujiajiri?sie tuliosoma masomo ya sociology ndio kujiajir inakua ngumu!ila ya kwako hiyo bomba sana unaanzisha shamba lako la mifugo!unauza maziwa!ajira kudanganyana tuu huku.
 
Hakuna haja ya kuajiriwa fungua ofisi yako jitangaze utapata wateja wengi tu hasa hapa Dar kuna wafugaji wengi wa kuku, ng'ombe,mbwa na n.k. kuajiriwa ni utumwa nakushauri jiajiri mwenyewe utaona mafanikio.kwa nini nyinyi wasomi hamtaki kujiajiri mnataka kuajiriwa tu?
 
hi jf, jamani mm nina bachelor ya wanyama (livestock), je kuna m2 anaweza kunisaidia sehemu nitakayopata ajira iwe private organisation popote nndani na nje ya nchi
tafuta passport, nenda botswana, fani za wanyama zinalipa sana...pia tembelea website ya government ya australia..wana nafasi nyingi sana za foreigners..hasa kwa fani hizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom