Nina ADA, CPA(T) na Masters in Accounting and Finance lakini sina kazi zaidi ya mwaka sasa!

kwa ajili ya kupata access ya bure ya magazeti ya kila siku hususan daily news na The Guardian, omba uanachama wa Tanganiyika Library, hiyo itakusaidia kuona day to day employment opportunities, la sivyo itakuwa vigumu kwako kufuatilia kazi zinazotangazwa

kwa nini ulikuwa unafanya ufisadi mkubwa hivi. We ni acaDEMICIAN KAFUNDISHE TU good performance kazini utakuwa njujai tu

Jamani wadau naomba msaada, mana nimeangaika hadi nimechoka kutafuta kazi. Nina Ordinary Diploma in Accountancy GPA 4, Advance Diploma in Accountancy GPA 4.2. zote nimepiga IFM.

Nilipomaliza Advance mwaka 2009 niliunganisha kufanya masters ya Accounting and Finance toka Mzumbe University, and on the same time nikawa nafanya CPA.

CPA nilipass zote at 1st sitting na June mwaka jana nikawa nimeipata. Masters nina GPA 4.1, bado kudefend thesis tu. lakini wadau nimetafuta kazi tangu nilivyopata hiyo CPA hadi leo hola! Nisaidieni basi ndugu zangu!

Pamoja na ushauri mzuri kutoka kwa wa wadau, unapaswa utambue mambo mengine ni ya kiroho zaidi. Huwa hayaonekani lakini effects zake hujidhihirisha kwenye ulimwengu wa mwili na damu. Inawezekana kuna matata 'mchawi' ame-switch off nyota yako na 'kitufe' kaenda kukificha mbalii... au una roho ya kukataliwa. Utapuyanga mtaani wee mpaka basi.Si unajua jamii zetu hizi za kibantu, wajinga na wenye wivu ni wengi sana kuliko waerevu.
Ninachokushauri kwanza Muombe sana Mungu kwa imani yako tena kwa kumaanisha ili akutoe hapo ulipo, halafu rudia
kupeleka tena maombi ya kazi kote kule ambako ulishapeleka. Nakuhakikishia utaona mkono wa Bwana na utakuja
kutushuhudia hapa JF.
Refer BONNY MWAITEGE - NJOO UFANYIWE MAOMBI
http://youtu.be/vVGVqClGKzQ

Jamani wadau naomba msaada, mana nimeangaika hadi nimechoka kutafuta kazi. Nina Ordinary Diploma in Accountancy GPA 4, Advance Diploma in Accountancy GPA 4.2. zote nimepiga IFM.

Nilipomaliza Advance mwaka 2009 niliunganisha kufanya masters ya Accounting and Finance toka Mzumbe University, and on the same time nikawa nafanya CPA.

CPA nilipass zote at 1st sitting na June mwaka jana nikawa nimeipata. Masters nina GPA 4.1, bado kudefend thesis tu. lakini wadau nimetafuta kazi tangu nilivyopata hiyo CPA hadi leo hola! Nisaidieni basi ndugu zangu!

Mamlaka ya maji mbeya wanahitaji internal auditor tafadhali omba PLEASE?

Siwezi kukulaumu mkuu, unaonekana you hv compitance in term of studies but unalack expirience embu jaribu kuwa mbunifu wa kitu gani unataka kufanya hata kama ni kwa kuajiriwa au kujiajiri mtu wa masters dgee unaweza kabisa kuwa creative ukawa successful hata katika kuwa convice employers on wht you have and wht you can deliver to their plants.

Jamani wadau naomba msaada, mana nimeangaika hadi nimechoka kutafuta kazi. Nina Ordinary Diploma in Accountancy GPA 4, Advance Diploma in Accountancy GPA 4.2. zote nimepiga IFM.

Nilipomaliza Advance mwaka 2009 niliunganisha kufanya masters ya Accounting and Finance toka Mzumbe University, and on the same time nikawa nafanya CPA.

CPA nilipass zote at 1st sitting na June mwaka jana nikawa nimeipata. Masters nina GPA 4.1, bado kudefend thesis tu. lakini wadau nimetafuta kazi tangu nilivyopata hiyo CPA hadi leo hola! Nisaidieni basi ndugu zangu!

Pole mkuu usisubiri mpaka uone tangazo linalotaka mtu mwenye hizo profesion,hata wakitangaza mtu mwenye bachelor we omba kwa kutumia cheti cha bachelor hivyo vingine usiviweke,ukiingia kwenye kazi basi unamwambia muajiri nina extra qualification,kubali na kuanza na kazi za position ya chini usitake kuanza na matawi kwa sababu ya kusoma,omba kazi kutumia vyeti vya bachelor then utatafuta kazi ukiwa kazini?hapo IFM mbona huwa wanatoa kazi za kufundisha?omba pia UDOM wana shida sana ya walimu hata kama kufundisha haiko damuni anza nayo wakati unatafuta chanel pia kuna reqruitment agents wapelekee CV zako mmojawapo ni Radar Recruitment the leading Recruitment Agency in Tanzania: Home

Siamini inawezekana hauna vyote hivyo au unavyo lakini unachagua kazi. You have everything and yet you have nothing. Unaweza ukawa hata private consultant kijana usisubiri Kukaa "behind the table". Umepewa elimu jiajiri. Nenda kawe hata Bank Teller. Au njo nikuajiri.......

Hasante Janice, nimeshajaribu kila nionapo tangazo kwenye gazeti naomba, lakini siitwi hata kwenye interview.

Kuhusu vitabu, hiyo ishu imekuwa intriduced mwaka jana kwenye facult ya commerce, ila nasikia walirudishiwa pesa zao mana vitabu havikuwa tayari!

kama hivi ndivyo unavyowasilisha ujumbe, lazima wakunyanyapae!

Siamini kama wewe una elimu hyo!utakua umekuja ku2chota akili 2 hapa.

kwa ajili ya kupata access ya bure ya magazeti ya kila siku hususan daily news na The Guardian, omba uanachama wa Tanganiyika Library, hiyo itakusaidia kuona day to day employment opportunities, la sivyo itakuwa vigumu kwako kufuatilia kazi zinazotangazwa

.....mmh labda kama anakaa kisutu au upanga mana atatembea tu kwenda huko library...vinginevyo atahitaji nauli ya kila siku kwenda na kurud, pesa ambayo nadhani ingetosha kupata daily newz kila cku.

so kumbe me ambaye nasoma huku nafanya kazi nna zali eh!...na kuna mibinadam tulivyoanza tu first semister ikaacha kazi

hee vyote hivyo?mimi na bachelor yangu mambo biieee.Sikia ukijaribu tena usiende na vyeti vyote peleka cha diploma na masters tu waajiri wengi ni waoga kuajiri watu waliowapita kielimu coz wanaogopa mtataka mshahara mkubwa.Hongera zako kwa kupenda shule

Bado hujachelewa kama ni June tu ndo umemaliza coursework kwa upande wa Masters na GPA zako ziko bomba very soon utapata kazi; ebu nenda FINCA H/Q wana scarcity na watu kama nyie. kwa mlolongo uliopitia accademically i hope ata kujieleza uko safi; ebu waone haraka.

Back
Top Bottom