Nina 2ml nifanye biashara gani?

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,326
5,266
Wadau heshima kwenu.

Nina cash ml 2, natamani nifanye biashara ila siyo ya duka na nipo Mwanza.

Naombeni msaada wenu.

Natanguliza shukrani
 
mkuu upo wapi mjini au kijijin!mtaji unategemea na sehemu uliyopo na fursa zilizopo maeneo hayo chunguza kwanza fursa then tuletee then tutakushaur baada ya hapo.miaaaa.
 
wadau.heshima kwenu.
nina cash ml 2 natamani nifanye biashara ila siyo ya duka na nipo mwanza.
naombeni msaada wenu.
natanguliza shukrani

hebu tutajie angalau aina 3 tofauti za biashara unazozipenda , maana ya duka huipendi japo hujafafanua ni duka gani .
 
Ungefnya biashara ya mpesa then uwek na maxmalpo kutkna na transactn zako unamake a huge commission ya kucheba huk mtaj ukiendlea kuwa palepale when u gv up!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom