Nimwambieje?

Nasema, hapana tabu hapo ndugu yangu. Si umwambie tu kuwa ulikuwa ukimdangaya ili kuwa na uhakika na mapenzi yake> Amini atafurahi sana, ndivyo tulivyo sisi!
 
Huwa nachekaga sana watu wakitakaga ushauri wa mapz,
coz mara nyingi watu hawaamui kama wanavyoshauriwa bali
hufanya vle mioyo yao inavyowatuma.

Mi nakushauri jiridhishe kwanza huyo jamaa kama hana
mtu, kwa nn? Inawezekana naye ana mtu sema kafurahi kuona kwamba
nawe una mtu so hutamsumbua, labda mambo anayokuambia anaigiza
tu ili uone anakupenda, so unaweza kujilipua kumuambia ukweli kumbe
mwenzako alikuwa anapenda kuiba tu na sio kumiliki, ukapata dissapointment tena.

Lakini kama ukijua hana demu na yuko for real, basi its all yours
we ni mwanamke mbane kwenye angle mmalizane mazima.

Na kuhusu kumuambia sioni ubaya wake coz ulichokua unamfi
its add some tips kwa utulivu wako na ni rahisi pia kuelezeka kutokana
na ulivyosema hapo juu! Ingekuwa unajifanya huna mtu halafu unaye kinyemela hapo
ndio majina yote mabaya ungepewa wewe!
 
Back
Top Bottom