Nimwambieje?

Kama huwezi muambia ukweli which l don't advice, malizia uongo wa mwisho; mwambie unampenda yeye kuliko pseudoBF wako na kwamba umeamua kumuacha for him.

Kama mna future, mkiwa pamoja ndio ucomfess.
 
baadhi ya wanaume hupenda kujificha nyuma ya vivuli vya wenzao kwa kuogopa committment; so long as anapata anachotaka kiwiziwizi, anajisikia roho kwatu...siku ukimgusia tu kwamba umeachana na b/f wako anajua zigo litakuwa lake sasa, so si ajabu mtu kama huyo akasepa vibaya sana
 
Kitu atakacho amini ni kua ulimuacha mpenzi wako kwa ajili yake yy so itakua ni ngumu yy kuku amini unajua unapozungumza uongo leo ujue utapata gharama ya kusema ukweli kesho
 
baadhi ya wanaume hupenda kujificha nyuma ya vivuli vya wenzao kwa kuogopa committment; so long as anapata anachotaka kiwiziwizi, anajisikia roho kwatu...siku ukimgusia tu kwamba umeachana na b/f wako anajua zigo litakuwa lake sasa, so si ajabu mtu kama huyo akasepa vibaya sana

wewe umeongea utadhani unaniona, yaani kama mimi naendelea na mahusiano mengine bila kuhofu kukamatwa maana na mimi si nitakuwa na wangu. Wanawake tunaowaiba huwa hawasumbui sana. Huyo kicheche mwanaume yeyote anayekubali kuwa na wewe wakati una mwingine hana future na wewe amejishikiza tu.
 
usiogope kusema ukweli kwa kuwa kama ni kweli utabakia kuwa ukweli na wala hutaweza kubadilisha ukweli kuwa uongo wala uongo kuwa ukweli.
 
Tafuta muda ambao wote mmetulia, kwa ustaarab na hekima kubwa mueleze mpenzi wako ukweli wote kuhusu kilichotokea na mpenz wako wa awali, jinsi ulivyoumia na kutokua na imani tena na wanaume, mueleze mwanzon uliamin pia na yy atakuwa kama aliyepita na ndio maana ulidanganya ili kumkwepa, tumia lugha nzur na tam kumueleza jinsi ujio wake maishan mwako ulivyobadilisha mtazamo wako na jinsi gan yy ni wa muhimu maishani mwako, mwambie unampenda sana, na umuombe msamaha kwa kumdanganya na kumuumiza pia. Najua ni ngumu lakini trust me Ukweli utakuweka huru my dear, Kama anakupenda kweli atakuelewa ingawa inaweza kumuumiza kwa kiasi flan, baada ya hapo una kaz sasa ya kumuhakikishia kuwa ww ni mkweli na muwaz ili kuondoa hlo doa la awali........... all the best mama
 
Duh! Nashukuru sana kwa ushauri. Napiga moyo konde nimtengenezee mazingira ya kumwambia, kiukweli sasa nashindwa kukeep huu uongo zaidi ya nilivyokwishafanya. Sidhani kama amejishikiza, coz anaonyesha yuko concerned sana, yaani the way he talks about us!Mnyampaa, kumegwa kiwiziwizi nimechoka, kuna vitu navikosa, nataka nivipate zaidi na wote tuwe free pamoja. Ndomu mmh! I hate them!
 
Magnificent, ndio maana naomba ushauri wenu ili nisipoteze trust kwake. Mkonowapaka wewe mwenzangu una kaexperience, asante sana, u can imagine how I feel now. Nitakupm kwa msaada zaidi.Bra-Joe, si kweli kwamba sina msimamo, but it happens sometimes especially ktk mapenzi.

usiogope, ktk mapenz ndo area ambayo weng hufanya makosa, sio wa kwanza na hutakua wa mwisho. pia kabla ujaanza ku-undo ur mistakes, study him scrupulously, itakusaidia kujua outcome n hw to engage.
wish u best of luck in the quest to conquer happiness.
 
Thank you very much Next, for the wise words and encouragement too.
 
Mwambie kwamba ulimdanganya ili kupima uzito wa upendo wake kwako,sasa umeamini kwamba yeye ni mtu anayekufaa nadhani kama anakupenda ataelewa tu.
 
Mwambie ukweli tu kama amepangwa awe wako atakuelewa kama he is not meant for you then hatokuelewa,jiandae kwa lolote!
 
Aisee Nasema, it's tricky! kinachonishangaza zaidi ni kuona mwanaume (huyo bf wako mpya) anakuwa tayari ku-share wakati wazi kuwa una mtu wako. Hii siyo kawaida kwa mwanaume anayetafuta mke wa kuoa. So this could mean much more! Kwa kuzingatia hili naunga mkono ushauri wa Neema, cartura, Me370 na wengine waliogusa the same point
 
unatakiwa kuwa muwazi-kw ann udanganye-kwan ungemwambia ukweli tangu mwanzo kulikuwa na shida gani?tell him the truth
 
Dah hiyo mbona simple mwambie umetokea mgogoro then mmeachana so awe huru na wewe
 
Kwenye maisha yako usimdanganye mwanaume alafu ukiri na kumwambia nilikudanganya hata kuamini kamwe. Jaribu kufanya kama unamuomba ushauri kuwa ninataka kuachana na yule boyfriend wangu ili niwe na wewe tu, alafu umsikilize atasema nini kama anania ya kweli atakwambia sawa.
 
Back
Top Bottom