Nimwambie uncle....

kama vp tembea hapo,kumwambia uncle ni hatari jomba,au km unaona namna gani basi mchane laiv,km haiwezekani binjuka kimaster.
 
wapendwa wa kuu wa kaya hi,nawasalimu...week kama mbili hivi nilipata uwamisho wa kazi kwenda tanga,ikwa vile nilikuwa bado sijapata makazi nilifikia kwa uncle wangu,na kweli nilikaribiswa vizuri sana na uncle na anti,tatizo lilianza kama wiki moja kupita,siku mmoja jumapili nikwa nimejipumzisha sebuleni nikiwa na angalia tv anti alikuja tukawa tumejumuika pamoja,angalizo anti hatuja pishana sana umri na ni sister du,mtoto wa mjini,mikao aliokuwa anakaa pale sebuleni na kinguo alicho kivya kwa kweli kama rijali unaweza kutegeka,basi nikaone nitoke pale kuepusha shari nika aga naenda chumbani kupumzika, baada kama ya dakika kama 30 nilisikia mlango wa chumbani kwangu ukifunguliwa kuhamaki alikuwa anti na kanga moja,alifunga mlango na kudondosha kanga na kubaki kama alivyo zaliwa akielekea kitandani nilipo,nilipigwa na butwaa,katika mvutano wa hapa na pale niliweza kuponyoka na kutoka chumbani nikamuacha chumbani kwangu,niliamua kuondoka kabisa hapo nyumbani nikaenda matembezi...nikiwa huko alinitumia msg ''..........nakupenda sana tokea siku nilipo kuona,na mjomba ako anirizishi ninavyo taka,naomba msaada wako"kikweli nilichanganyikiwa na tokea siku hiyo na mkwepa kwepa ila naona aibu tukiwa wote na uncle na yeye.je nimwambie uncle maana bado ananitumia msg za kunitaka kimapenzi

MMhhh!!!mara nyingi stori kama hizi huwa nasoma kwenye magazeti, kama imekutokea laivu pole!! huna haja ya kumwambia uncle wako utamuumiza sana, na endapo atachukua hatua yoyote jua itakuwa ni matokeo ya hasira baadae kibao kitakugeukia ndugu, na mahusiano na mjomba wako yatakuwa hatiani, hivyo funga virago vyako nenda kakae hata gesti za buku 5 tanga zipo mpaka hapo
utakapopata chumba.
 
kajileta mwenyewe wewe kamatia tuu mwanawane. asije kukuona wee nae sio kidume. ili ujanja ni kuto mpa dozi kamili ili akuone nawe hufai huku wewe ukiwa tayari ulishamega tunda lake.
 
Nilitarajia thread hii uirushe ukiwa kwako tayari...ondoka hapo fasta na ukate mawasiliano na huyu anti ako...
Na pia funga domo lako milele
 
wakuu nimewaelewaa..nipo kwenye mchakato wa kutafta nyumbaa nihame ila now nipo gesti kwa siku tatu,japo bado anti anashikilia msimamo wake kwamba lazima nitembee nae kivyovyote,kuhama au kumkwepa sio suluhisho
 
kama vp tembea hapo,kumwambia uncle ni hatari jomba,au km unaona namna gani basi mchane laiv,km haiwezekani binjuka kimaster.
uncle wenyewe ni mtu wa kusafiri sanaa kwa mwezi anaweza kuwa home wiki moja...na pia yeye ni kichche mbayaaa kabisa ananyumba ndogo za kutosha naona kama anti kajua hilo
 
Kwanza malizia huo msiba alafu kaa chini ujiulize uncle upande wa pili ni nani yako?
Baba mkubwa/mdogo au Mama ukipata jibu sokota ndumu nyengine ipige moto moshi arusha kwa sana tuu
 
mkuu umri wangu ni kuazia 30's...roho yangu inauma cse niwangapii anafanya nao nyuma ya mgongo wa mjomba angu,ila kama ulivyo sema sita pata faida yoyote ya kusema kwa uncle ni bora nifunge domo langu.ila msg anazzo nitumia ni zakunitaka kimapenzi kwa nguvu.mkuu nisafanya mchakato wa kupata nyumba kwa madalalii ila kwa vile uncle kwa sasa ka safiri nimeamua kukaa gesti siku mbili hizi maana najua kukaa nae pale nyumbani wawili usiku ni mtihani
Unataka kuvunja ndoa za watu wewe

na wakiachana story itakugeuka
itajulikana ulitembea nae

wewe si uhame tu hapo?

mbona ishu ndogo..how old are you?

halafu khanga moja ikidondoka hata chupi hakuna?au?
 
Unataka kuvunja ndoa za watu wewe

na wakiachana story itakugeuka
itajulikana ulitembea nae

wewe si uhame tu hapo?

mbona ishu ndogo..how old are you?

halafu khanga moja ikidondoka hata chupi hakuna?au?


eee kumbe unapenda kuchungulia eee mmh.
 
Polee wangu kwa yaliyokukuta, cha msingi mwambie anti nimekuelewa lakini naomba unipe muda ndo ntakujibu kuliko kunifanyia vituko mara hiki mara kile, wakati huo unapanga mipango yako ya kutafuta makazi pengine, ukipata tu unampa za uso tena unamwambia ukweli tu, anti nakuheshim sana kama mke wa mjomba wangu so siwezi fanya hivyo, ila kuwa siriazi sana. na siku unampa hizo za uso kwa uso hakikisha umeshapata makazi ukimaliza hizo za uso sepa mapemaa, vinginevyo atakutafutia sababu ukosana na nduguyo.
 
kajileta mwenyewe wewe kamatia tuu mwanawane. asije kukuona wee nae sio kidume. ili ujanja ni kuto mpa dozi kamili ili akuone nawe hufai huku wewe ukiwa tayari ulishamega tunda lake.


mbona unamdanganya mwenzio, fikiria wewe mkeo ndo anafanya hivyo?
 
mbona unamdanganya mwenzio, fikiria wewe mkeo ndo anafanya hivyo?

hapana mdanganya ni ukweli tuu mbona....mie bwana nilishakubalia na ukweli kuwa mke wangu atamegwa that way ikitokea psychologicaly nilishajianda so the blow wont be that hard to deal with
 
kunawadau wanaziita story za shigongo...namashaka sana na hawa watoa hoja hiz,sio teenagers kweli hawa form4 or form6 leaver......???!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom