Nimwambiaje?

Hivi vizazi vya Dot.Com utaviweza mwalimu?

Duh! Siviwezi.

Suala lisingewekwa ki personal zaidi ingekuwa kuna afuweni, lakini hapa sasa 'tabia za kitandani' zote za Mr wa Pearl na Pearl mwenyewe tushazijua.

Wenye imagination tena ikifika time Pearl yupo na Mr wake, wajichoree picha.

Akina dada, asiye kujua hawezi kukudhuru, kikulacho kinguoni mwako,.........Dini huwa hazikosei kwa hiyo "hala hala mti na jicho"
 
Mpe kitu yake mama ...

mambo vipi FL, heri ya mwaka....kuna mrembo nilikuwa nachat nae tu, juzi juzi tukapata muda wa kuongea, bac she was lyke jamani mbona naongea na FL? nikamwambia unabonga na Nyamayao bwana, akaniambia yaani sauti kama ya FL kabisa jamani au imekuwaje? nikamwabia ngoja ntamuomba no nimckilizie....hahahaha....naomba uni pm ur no sweet.....
 
ah ah ah dereva hala hala mkono na paja!
Duh! Siviwezi.

Suala lisingewekwa ki personal zaidi ingekuwa kuna afuweni, lakini hapa sasa 'tabia za kitandani' zote za Mr wa Pearl na Pearl mwenyewe tushazijua.

Wenye imagination tena ikifika time Pearl yupo na Mr wake, wajichoree picha.

Akina dada, asiye kujua hawezi kukudhuru, kikulacho kinguoni mwako,.........Dini huwa hazikosei kwa hiyo "hala hala mti na jicho"
 
eeeh tena la arusha bichiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Pearl, hebu nithibitishie hili,
nasikia hawa jamaa wanaokula hilo jani bichi,
huwa ni wazuri sana kwa kwenda uvinza?
sasa sijui ile stimu ya jani ikichanganyika na ladha ya chumvi inakuwaje?
 
Mtoto mzuri signature yako inanitatiza hapo kwenye red
kwani wataka mpa nani ati :love:

"Forever young!I wanna be!
SINGO AND NOT SEARCHING"
 
:love::love::love::love::love::love: all over this place???

Au ni tamu.....au ni duduz.......au konyagi au jani.........
 
mambo vipi FL, heri ya mwaka....kuna mrembo nilikuwa nachat nae tu, juzi juzi tukapata muda wa kuongea, bac she was lyke jamani mbona naongea na FL? nikamwambia unabonga na Nyamayao bwana, akaniambia yaani sauti kama ya FL kabisa jamani au imekuwaje? nikamwabia ngoja ntamuomba no nimckilizie....hahahaha....naomba uni pm ur no sweet.....

Aaaah jamni happy new year mamy nilikumiss sana ,inawezekana tuko pacha wa sauti ,Ngoja niku-PM tucheki kama sauti zinashabihiana
 
yani sanaaaaaaaaaaaaa natamani siku uje piga chabo,na hivi hana pressure so vitu vya chumvi ruksa
Pearl, hebu nithibitishie hili,
nasikia hawa jamaa wanaokula hilo jani bichi,
huwa ni wazuri sana kwa kwenda uvinza?
sasa sijui ile stimu ya jani ikichanganyika na ladha ya chumvi inakuwaje?
 
jamani nani kamuona ST RR?nadhani ana habari hapa za kuhabalisha wanajamvi
 
Back
Top Bottom